Hon. Aikambe
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 443
- 70
Je tunamuhitaji huyu bwana??? Ameifanyia nini arusha??
Naomba sana kusimamishwa ubunge isije ikawa kigezo cha underachievement
nawakilisha
Lema jembe letu magamba yana haha maana arusha wana mwaga mapesa twayala halafu tunaipa kura chadema.magamba walizani wana arusha ni mazuzu wa viji senti kama mtwara wakipewa ubwabwa wamelegea huku arusha ni nchi nyengine bahna! Mwendo ni chadema kaskazini,kanda ya ziwa,kanda ya kati
Tunamhitaji Lema kwa sasa zaidi ya tulivyomhitaji miaka iliyopita hapa Arusha. Tunahitaji mwaka 2015 kuikomboa Arusha yote. Hivi ACT ni mdudu gani? Nasikia eti kazaliwa huko Kigoma. Kwa Mazingira ya Arusha mdudu huyu hataweza kuishi na kuzaana hapa. Atakufa mara moja. Heri akajaribu mikoa ya Pwani na Zanzbar. Huko kunafanana kidogo na Kigoma!
wafanyabiashara w arusha wanajiunga kwa kasi sana chama makini ACT lema amewaharibia biashara zao .. mahoteli na makampuni ya utalii arusha wamepata hasara sana kutokana na vurugu zachadema
wana arusha hatumhitaji tena lema

maneno hayo ukiyasema mbele ya wana Arusha lazima wakutoe barulema hakuna kitu alichofanya arusha zaidi ya kushusha uchumi wa arusha kwa vurugu zake na maandamano na genge lake la wahuni. wana arusha tumemchoka hatumtaki tena
Je tunamuhitaji huyu bwana??? Ameifanyia nini arusha??
Naomba sana kusimamishwa ubunge isije ikawa kigezo cha underachievement
nawakilisha
hana shida lema wana Arusha tunampenda sana.usije ukamtegemea mbunge ili akuletee maendeleo bali juhudi zako tu.Hata ukimweka mwingine hata kama ni CCM bado ni yaleyale tu ni bora ya Lema.
Lema mwenyewe kajishtukia sikuhizi kawa baridi sana.
lema hakuna kitu alichofanya arusha zaidi ya kushusha uchumi wa arusha kwa vurugu zake na maandamano na genge lake la wahuni. wana arusha tumemchoka hatumtaki tena
Subiria matusi kutoka kwa vijana wa Bavicha
ACT inakubalika sana arusha ni mkombozi wa wana arusha
wafanyabiashara w arusha wanajiunga kwa kasi sana chama makini ACT lema amewaharibia biashara zao .. mahoteli na makampuni ya utalii arusha wamepata hasara sana kutokana na vurugu zachadema
uchumi wa arusha umeporomoka kwa kasi sana