Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
umerogwa wewe ---- weweJe tunamuhitaji huyu bwana??? Ameifanyia nini arusha??
Naomba sana kusimamishwa ubunge isije ikawa kigezo cha underachievement
nawakilisha
Je tunamuhitaji huyu bwana??? Ameifanyia nini arusha??
Naomba sana kusimamishwa ubunge isije ikawa kigezo cha underachievement
nawakilisha
Ndoto za mchana. Haiitaji uwe na akili kubwa kijua kuwa Lema bado anakubalika sana Arusha. Unapata picha gani kwa uchaguzi wa madiwani Arusha?wafanyabiashara w arusha wanajiunga kwa kasi sana chama makini ACT lema amewaharibia biashara zao .. mahoteli na makampuni ya utalii arusha wamepata hasara sana kutokana na vurugu zachadema
wana arusha hatumhitaji tena lema
uchumi wa arusha umeporomoka kwa kasi sana
Lema jembe letu magamba yana haha maana arusha wana mwaga mapesa twayala halafu tunaipa kura chadema.magamba walizani wana arusha ni mazuzu wa viji senti kama mtwara wakipewa ubwabwa wamelegea huku arusha ni nchi nyengine bahna! Mwendo ni chadema kaskazini,kanda ya ziwa,kanda ya kati
Tunamhitaji Lema kwa sasa zaidi ya tulivyomhitaji miaka iliyopita hapa Arusha. Tunahitaji mwaka 2015 kuikomboa Arusha yote. Hivi ACT ni mdudu gani? Nasikia eti kazaliwa huko Kigoma. Kwa Mazingira ya Arusha mdudu huyu hataweza kuishi na kuzaana hapa. Atakufa mara moja. Heri akajaribu mikoa ya Pwani na Zanzbar. Huko kunafanana kidogo na Kigoma!Ndoto za mchana. Haiitaji uwe na akili kubwa kijua kuwa Lema bado anakubalika sana Arusha. Unapata picha gani kwa uchaguzi wa madiwani Arusha?