Tuna jenga Taifa la aina gani? Hili ni swali nimeamka nalo na lina nitesa moyo wangu hata nisipo andika ila vizazi vijavyo vita andika.
Kule tuna elekea naona kuna jambo linakuja na linatisha sana naukumbuka Uzi wangu nilio wauliza Watanzania itakuwaje Mh Rais wa sasa akiwazidi akili nakuwa acha mkijiuliza maswali magumu. Leo nazidi kuuliza je tunajenga taifa la aina gani?
Mimi naogopa sana na mtu yeyote mwenye akili aje hapa anisaidie kutafakari. Sisi sote tunaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria na hakuna kiumbe yupo juu ya sheria.
Tumetunga sheria ya mitandao na imetuacha wote vinywa wazi na sasa kila mtu anajuwa anapo ongelea na sasa wale wanaishambulia nchi wengi ni unknown Peoples sii tena imetusaidia ila imezidi kuongeza watu wasio julikana jambo naona kiusalama ni hatari sana.
Hatuja kaa vizuri imekuja hati nyingine spika na viongoz wengine wakuu kutoshitakiwa kikatiba hivi najiuliza do we know impact of this by law? Ndugu zangu tukamfufue Mzee Nyerere hii sio picha nzuri tusali tusali tusali tusali hatupo salama alie juu anaweza kufanya lolote na hakuna wakumuuliza ndugu wa Tanzania Mzee wetu hayati baba wa Taifa alitawala muda mrefu ila hakuwahi tunga sheria zakumlinda why new leader ambao wanatawala just for ten year wanaweka sheria nzito kuwalinda kuna nini nyuma ya yote haya? Upo wapi usalama wetu sisi Raia wanyonge kama mtu akisha kuwa na nafasi kubwa ya kitaifa hashitakiwi najiuliza hii nisheria ya taifa gani lililo staarabika duniani?
Je tunarudisha zama za wafalme na Machifu walio tawala nakuwa na nguv mpaka chukua wake za watu na kamwe hawakuguswa? je tunajenga taifa gani? Taifa la Watanzania waoga wasioweza kujieleza wala kosoa jambo lolote wanaona haliposawa serikalini?
Sioni kama ipo sawa tangu 2015 kunasheria zimetungwa ukizisoma nihatari kwa walaji embu angalia sheria ya Tax administration 2015? Embu nenda kasome sheria ya takwimu God remember we Tanzanian. Wewe ni Mungu kwetu.