Je Tuition center ipi nzuri kwa kombi ya EGM-PC candidate?

DR.POLITICS

Member
Dec 16, 2015
69
42
WanaJF,naomba msaada wenu.Nahitaji kujua wapi hapa Dar kwenye kituo kizuri cha Tuition kwa ajili ya maandalizi ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,Kwa masomo haya :-
-Economic
-Geography na
-Mathematics

Kwa PC candidate?
Ahsante
 
mtaalam wa geog tz nzima ni mtegetwa mng'ala mzimbaz centre!
uchumi kuna mwamba yupo kwa ABM ilala near dsj,
mathe kwa mtata de mtatuz mchikichin down o maarifa kun mwamba wanamuita "mwarami" kitu km hicho pia yuko mno
 
Shukran mkuu,je hawa wataalam wanatunga mitihani pia?
 
Geog nenda kwa mtegetwa math mwarami then mitihan mwenge wanafanyisha o kule maarifa tandika ambapo wanapaper za kufa m2 ila ukzngatia kwa hawa walimu na ukajtahd kuxoma utakuja ku2pa mrejesho hapa kila la kheri
 
Back
Top Bottom