TUCTA,CWT,TUGHE na madude yote yanayofanana na hayo kwa sasa yako compromised.kama statutory annual increments na madaraja,fedha za likizo,matibabu na madeni yake havilipwi.Halafu hayo madude yako kimya utahitimishaje?
Umejituma mara nyingi, wakati nautuma ulikua una fail halafu kuna notification kwamba endelea kutuma au wasiliana na wahusika... Kuja kuchek nimekuta mara nyingi umejitumaHuu uzi umerudiwa mara 7 hapa sijui kwanini haujaunganishwa na kuwa mmoja
Nadhani ndiyo hoja ya msingi kuna shida somewhere...TUCTA,CWT,TUGHE na madude yote yanayofanana na hayo kwa sasa yako compromised.kama statutory annual increments na madaraja,fedha za likizo,matibabu na madeni yake havilipwi.Halafu hayo madude yako kimya utahitimishaje?
Umejituma mara nyingi, wakati nautuma ulikua una fail halafu kuna notification kwamba endelea kutuma au wasiliana na wahusika... Kuja kuchek nimekuta mara nyingi umejituma
Hivi kwanini uongozi usitolewe maana mimi naona waoga sana
Yaani umtoe katibu mkuu tucta aende wapi wakati yupo pale kujitengenezea mazingira ya kugombea ubunge kwa mara ya tatu jimbo la Msigwa? Isitoshe marais na makatibu wote wa vyama vya wafanyakazi ni makada watiifu wa ccm na wanatekeleza ilani ya ccm kwenye vyama wanavyoviongoza!Hivi kwanini uongozi usitolewe maana mimi naona waoga sana
Nani amfunge paka kengele mzee...... Mfumo umekaza....Yaani umtoe katibu mkuu tucta aende wapi wakati yupo pale kujitengenezea mazingira ya kugombea ubunge kwa mara ya tatu jimbo la Msigwa? Isitoshe marais na makatibu wote wa vyama vya wafanyakazi ni makada watiifu wa ccm na wanatekeleza ilani ya ccm kwenye vyama wanavyoviongoza!
Ona jinsi uhakiki wa wafanyakazi wasiozidi laki tano unavyochukua miaka mitatu bila kukamilika na wao wamejaa kimya! Walimu waliopandishwa madaraja na kunyang'anywa na kurejeshewa na kunyang'anywa na kurejeshewa tena Aprili mosi bila kuwa kutuhumiwa kwa kukiuka masharti ya madaraja hayo na hadi sasa wengine hawajalipwa hata hiyo waliopandishwa Aprili na hata arrears za kutoka Aprili nazo wamezikalia lakini tutcta wamelala na kuona ni sawa tu!
Madai na malimbikizo ya madeni ya wafanyakazi yaliahidiwa kutolewa shs. 200bln tangu Februari mwaka huu na hakuna aliyekuwa hadi sasa!
Ni kweli wanatakiwa kuja na majibu ya haki na stahiki za wafanyakazi zilizopo kisheria kukaliwa na ama kukataliwa kulipwa na serikali ambayo ndiyo mwajiri huku walilipwa ada za kila mwezi ni kwanini wasijuuzulu kupisha wenye uwezo wa kutekeleza matakwa ya tutcta?
Kinyume na kuyatekeleza majukumu yake wakajjsaji kwa msajili wa vyama vya siasa tujue moja!
Tatizo sio kama hawaoni ugumu upo pale wanapo kuwa na second thoughtYaani umtoe katibu mkuu tucta aende wapi wakati yupo pale kujitengenezea mazingira ya kugombea ubunge kwa mara ya tatu jimbo la Msigwa? Isitoshe marais na makatibu wote wa vyama vya wafanyakazi ni makada watiifu wa ccm na wanatekeleza ilani ya ccm kwenye vyama wanavyoviongoza!