mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Tumekua na ukawaidia wa kusema ,
"Mtu unaweza Tenda dhambi bila kujua"
Dhambi hii inatokana na mazingira fulani ya kutenda jambo pasi kujua ni sahihi ama si sahihi , ni kweli ama si kweli, pamoja na kuhukumu mtu juu jambo fulani bila kujua ukweli kamilifu.
Je , dhambi zenye asili ya namna hiyo huhesabika kama dhambi. ?
Karibuni.