Ninampango wa kununua yenye 4g sasa nitaijuaje kama ndio yenyewe na ni bei gani!
Unaweza uka fix 4g kwenye tecno w4 but mpaka uwe ume root cmW4 inakuja na chipset ya MTK 6735 ambayo inasupport 4G lte. sijajaribu kuona kama inashika 4G kiuhalisia.
tecno w3 inasupport 3G only, wakati tecno W3 Lte inasupport 4G.
Mpaka u root cm ndo itakubali fixingUnafix vipi Mkuu baada ya kuroot