Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 894
- 994
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC)jana kupitia tamko LAO wameamua kuja na mashinikizo badala ya maridhiano,visasi badala ya kuponya, uchochezi badala ya amani.
Sijashangaa sana kwani huu ni utamaduni wao pale wanapoamua kulinda maslahi yao na makundi yao.
Nilitegemea baada ya changamoto za Uchaguzi Mkuu, Kanisa(TEC) lingekuja straight na ajenda ya maridhiano kama ambavyo Mh Rais Samia alitangaza pale Bungeni juzi Jijini Dodoma hivi karibuni lakini badala yake wakaisubilia hotuba yanMh Rais na wenyewe wakaja "kucounter" na kuzima kabisa jitihada za Serikali kuileta Nchi pamoja.
IPO HIVi👇🏾👇🏾👇🏾
Maridhiano duniani sio kitu kipya, nataka nilete mifano michache ya Nchi ambazo zilikuwa na mizozo mikubwa na ya muda mrefu lakini ikaishia kumalizwa kwa njia za maridhiano/upatanisho.
I.KIJIJI CHA MARIDHIANO NA UMOJA CHA NCHINI RWANDA.
Hapa Serikali ya Rwanda baada ya Mauaji ya kimbare walikuja na njia bora ya kuwakalisha pamoja wahanga wa mauaji ya Kimbare na wahalifu wa mauaji yale.
Kijiji cha Maridhiano na Umoja cha Rwanda kilianzishwa na hapa Watutsi walionusurika katika mauaji yale sasa wakawa wanaishi pamoja na Wahalifu wa Kihutu waliorekebishwa tabia karibia watu 400 hivi.
Mpaka leo Rwanda inastawi kwa amani na umoja toka mwaka 1994 kuja mbele.
II.TUME YA UKWELI NA MARIDHIANO YA AFRIKA KUSINI OCTOBER 29,1998.
Tume hiyo ya Ukweli na Maridhiano ya Afrika Kusini iliyotokana na sera za Ubaguzi wa rangi Nchini humo ilitoa report yake October 29,1998 ikilaani ukatili uliofanywa na pande zote wakati wa Ubaguzi wa rangi na sasa Afrika Kusini ni moja.Jarida la RFI liliandika👇🏾👇🏾👇🏾
" Familia za Wahanga wa Ubaguzi wa rangi Zimeridhika na Kuanzishwa kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Afrika Kusini".
III.MARIDHIANO YA KARIBUNI YA ISRAEL NA PALESTINA HUKO GAZA.
October 10,2025 itakumbukwa na dunia baada ya ISRAEL na Palestina kifikia maridhiano ya (I)kusitisha mapigano ukanda wa GAZA,(II)kubadilishana mateka wa vita na (III) kubadilishana mpaka maiti.
Kama Israeli na Palestine wanakaa mezani baada ya miaka yote ya mapigano kwanini isiwezekane kwetu Tanzania?kama Wanyarwanda walikaa mezani na amani ikarejea,kwanini sisi tusikae?kama Waafrika kusini walikaa mezani kwa maridhiano na ikawezekana,kwanini kwetu isiwezekane?
WAKATOLIKI(TEC) WANAMTANGAZA (KRISTO)MUNGU YUPI?
Biblia takatifu imetupa maelekezo jinsi wakristo tunavyopaswa kuitafuta amani kwani Mungu anasema,kuitafuta amani ni kumtafuta yeye(Mungu).👇🏾👇🏾
(Mathayo 5:9)
"Heri wenye kuleta AMANI, maana wataitwa watoto wa Mungu.."
(2 Wakorintho 13:11).
" kwa sasa ndugu muwd na ukamilifu.........muwe na nia moja.....kaeni kwa amani ,naye Mungu wa upendo ana amani atakuwa pamoja nanyi..".
(Yohana 4:16)
"Mungu ni pendo "
Kwa watu wenye nia njema na Taifa hili,huu haukuwa wakati wa kudai HAKI bali kudai AMANII kwanza.Anayedai HAKI palipo na Machafuko huyo sio mwana wa Mungu tena.
UKWELI USEMWE KUHUSU WAKATOLIKI NA AJENDA ZAO.
Matamko ya sasa ya Wanajiita waandamanaji ni dhahiri kutaka kumuondoa madarakani Mh Rais Samia Suluhu Hassan kwa njia za OVU(UGAIDI)
TEC wanajua sana hilo 👆👆ndio maana tamko lao halijakemea kabksa maandamano mengine yanayopangwa kufanyika 9 Desemba,2025.
Hivi TEC tukiwaita ni sehemu ya mpango huu wa kumpinduaMh Rais Samia kwa njia za KIGAIDI tutakuwa tunakosea?Ni wazi kuwa TEC wanaonekana kuwa sehemu ya mpango huu wa hovyo kwa amani ya Taifa.
Hivi kwanini kila Rais wa Nchi(Tanzania) akiwa anatokea kwenye Uislam TEC lazima walete chokochoko?Je,TEC wameshazoea "kuzalisha" MARAIS wa Nchi hii kiasi kwamba wanaona wana HAKI kuliko Makanisa(Mathehebu)mengine ndani ya Nchi hii?
Sijui KKKT wanaliona hili?👆👆Je,Makanisa mengine mmeona jeuri hii ya TEC?🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Je,ni kweli kwamba Rais wa Nchi hii lazima awe Mkatoliki?
Ajenda hii ya SIRI ya TEC lazima ipingwe kwa Nguvu zote,haiwezekani TEC wanataka kuturudisha tena kwenye lockdown ya lazima ili tu watimize lengo lao la KUMPINDUA RAIS SAMIA.
UGAIDI HUU👆👆 WA TEC kamwe HAUKUBALIKI.