Huyo unayejadiliana naye ni TAAHIRA mkuu. Hayupo kujifunza bali ku instill hatred speech. ACHANA NAYE.Kwani Israel huko Gaza au Lebanon si inalipua makazi ya watu au unaongelea nini?
Pointi hapa sio nani kauwa wengi maana inafahamika israel imeua watoto zaidi ya elfu 70 huko Gaza ila hoja ni kwamba Israel ikivamia nchi za watu wanaita kujihami ila wao wakivamiwa wanasema ni ugaidi.