Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Jamani wacheni vijana wetu wapumziswe hata kidogo.Kufuatiwa mgogoro wa DRC/Congo dhidi ya M23 ambao umepelekea nchi wanachama wa Africa mashariki kupeleka vikosi vyake kupambana na kundi hilo la kiasi ambalo DRC inaishutumu Rwanda kulisupport kifedha, kiinteligencia na kijeshi.
Mpaka sasa nchi 5 kati ya 7 zimepeleka majeshi yake DRC /Nchi zote kasoro Tanzania na Rwanda ambayo imekataliwa isipeleke majeshi nchini humo.
Nchi zilivopeleka majeshi
1.Burundi
2.South Sudan
3.Kenya
4.Uganda
Nchi ambazo hazijapeleka
1.Tanzania
2.Rwanda (Imekataliwa)
View attachment 2506851
Nini kinazuia Nchi hii kubwa kupeleka majeshi yake huko?
Tanzania imepeleka kupitia sadcKufuatiwa mgogoro wa DRC/Congo dhidi ya M23 ambao umepelekea nchi wanachama wa Africa mashariki kupeleka vikosi vyake kupambana na kundi hilo la kiasi ambalo DRC inaishutumu Rwanda kulisupport kifedha, kiinteligencia na kijeshi.
Mpaka sasa nchi 5 kati ya 7 zimepeleka majeshi yake DRC /Nchi zote kasoro Tanzania na Rwanda ambayo imekataliwa isipeleke majeshi nchini humo.
Nchi zilizopeleka majeshi
1.Burundi
2.South Sudan
3.Kenya
4.Uganda
Nchi ambazo hazijapeleka
1.Tanzania
2.Rwanda (Imekataliwa)
View attachment 2506851
Nini kinazuia Nchi hii kubwa kupeleka majeshi yake huko?
Mwaka gani?? Na walipelrkea wangapi?Jamani wacheni vijana wetu wapumziswe hata kidogo.
Si wametokako mwaka jana?
Wacha na wengine wakalinde bhana!
Kenya ina tishio la Al shababu kubwa kuliko hata lilo la wahuni wa msumbijii??Tuna tatizo kubwa zaidi hapa mlangoni kwetu, Mozambique ndio tuelekeze nguvu zaidi
SADC haijapeleka majeshi DRC au unaongelea msumbijiTanzania imepeleka kupitia sadc
Mkuu with respect wale ISIS sio wahuni and don't undermine them, pata informations zao on the ground sio hizo politics, kule kuna tatizo zaidi ya uhuni!Kenya ina tishio la Al shababu kubwa kuliko hata lilo la wahuni wa msumbijii??
Kuna namna Tz inajitoa East africa
Walipelekwa mwaka 2013 na mkataba wao umeisha mwaka jana.Mwaka gani?? Na walipelrkea wangapi?
sadc wamepeleka sema wako chini ya UN ndio hao kuna wasouth piaSADC haijapeleka majeshi DRC au unaongelea msumbiji
Kama hujui kaa kimya uelekezweSADC haijapeleka majeshi DRC au unaongelea msumbiji
Hujui maana ya munusco tulia upewe ukweliWalipelekwa mwaka 2013 na mkataba wao umeisha mwaka jana.
Walikuwa chini ya UN na kikundi chao kilikuwa mchanganyiko pamoja na wanajeshi wengine kutoka nchi za Sadc kikundi hicho kilijulikana kama "Monusco"
Sasa jambo unapomueleza mwenzako halijui, si unalieleza wewe sasa kuliweka sawa?Hujui maana ya munusco tulia upewe ukweli
USSR
huwezi kuwalinganisha na ali shabab mkuu!!…Mkuu with respect wale ISIS sio wahuni and don't undermine them, pata informations zao on the ground sio hizo politics, kule kuna tatizo zaidi ya uhuni!
Sasa jambo unapomueleza mwenzako halijui, si unalieleza wewe sasa kuliweka sawa?
Au na wewe unabishi tu huku haulewi chochote?
Kwanza eleza, Wanajeshi wa Tz, walikuweko Congo Drc ama hawakuwako?
sadc wamepeleka sema wako chini ya UN ndio hao kuna wasouth pia