Mkuu, mimi naishi Madinna. Mapumziko huku ni Alhamis na Ijumaa tu. Jmosi na Jpili ni siku za kawaida za kazi. Kwa sababu ya umuhimu wa mawasiliano na nchi nyingine za dunia, mataifa mengi ya kiarabu isipokuwa Saudia yameanza utaratibu wa kupumzika Ijumaa na Jmosi.Jana nimeangalia taarifa ya habari startv pakawa na habari kuwa waislam wameanza kuchambua katiba ya sasa ili kujiandaa kwa katiba mpya. Kuna mjumbe mmoja akawa anahojiwa yeye akawa anasema jumamosi na jumapili zilitengwa mapumziko kwa ajili ya dini fulani sasa wao hawajapendezewa nayo wanataka mabadiliko ya siku hizo,je kimantiki jumamosi ni kwa ajili ya dini fulani tu?kwani uarabuni(madina na makah) hawapumziki jumamosi na jumapili?
Jana nimeangalia taarifa ya habari startv pakawa na habari kuwa waislam wameanza kuchambua katiba ya sasa ili kujiandaa kwa katiba mpya. Kuna mjumbe mmoja akawa anahojiwa yeye akawa anasema jumamosi na jumapili zilitengwa mapumziko kwa ajili ya dini fulani sasa wao hawajapendezewa nayo wanataka mabadiliko ya siku hizo,je kimantiki jumamosi ni kwa ajili ya dini fulani tu?kwani uarabuni(madina na makah) hawapumziki jumamosi na jumapili?
Mapumziko huko ni Ijumaa tu. Kuhusu udini bara,hilo liko wazi kuwa upo udini wakutisha japo viongozi wanakana lakini ukweli nikua udini upo katika kila sekta unayoijua.
Udini upo na engineer wake ni Kikwete!.Nenda NSSF, UDOM...
Okey kwa hiyo kikwete ni muasisi wa dini ya kiislam maana yeye ni mwislam kama ni hivyo iweje wafuasi wake walalamikie ukristo?
Jana nimeangalia taarifa ya habari startv pakawa na habari kuwa waislam wameanza kuchambua katiba ya sasa ili kujiandaa kwa katiba mpya. Kuna mjumbe mmoja akawa anahojiwa yeye akawa anasema jumamosi na jumapili zilitengwa mapumziko kwa ajili ya dini fulani sasa wao hawajapendezewa nayo wanataka mabadiliko ya siku hizo,je kimantiki jumamosi ni kwa ajili ya dini fulani tu?kwani uarabuni(madina na makah) hawapumziki jumamosi na jumapili?
Hapo ndiyo penyewe...Mkuu, mimi naishi Madinna. Mapumziko huku ni Alhamis na Ijumaa tu. Jmosi na Jpili ni siku za kawaida za kazi. Kwa sababu ya umuhimu wa mawasiliano na nchi nyingine za dunia, mataifa mengi ya kiarabu isipokuwa Saudia yameanza utaratibu wa kupumzika Ijumaa na Jmosi.
Mapumziko huko ni Ijumaa tu. Kuhusu udini bara,hilo liko wazi kuwa upo udini wakutisha japo viongozi wanakana lakini ukweli nikua udini upo katika kila sekta unayoijua.
Anayejua idadi ya wakiristo na waslam Tanzania nzima atuwekee hapa tuone