kuwa shule ya ufundi hicho ni kigezo kwamba hiyo ni special kwa masomo hayo ambayo shule nyingine hazitoi!labda ungeelezea u-special wa shule kama Mzumbe,Kibaha na Ilboru upo vipi kwa sababu masomo wanayosoma ni yale yale yanayotolewa na shule nyingine!SIO ni shule ya ufundi, levels ziko hivi
1.Shule maalum (Tabora boys,mzumbe,kibaha ,Ilboru)
2.Shule za ufundi (Tanga tech,Musoma tech n.k)
3.Shule za bweni za kawaida (Sengerema,Nsumba ,Songea boys n.k)
4.Shule za kutwa Kongwe
5.Shule za kata
Mkuu wa matokeo yake jinsi yalivyo nilidhani angeenda Mzumbe and Co. Lakini amejikuta ameweka hapo,natamani asome PCM,PCB au CBG badaye maana ndio sehem pekee yakuweza kujiajiri badaeUsijifikirie mara mbili kwenda TTS(Tanga Technical School) nenda tu mkuu kama ni mwanao mpeleke hapo pako good sana na ni shule ya kwanza kabisa ya secondary ya serikali kwa Tanzania
VIVA KIUNGANI
Tanga School ina PCB na PCM,CBG iliondolewa na sidhani kama imerudishwa!Mkuu wa matokeo yake jinsi yalivyo nilidhani angeenda Mzumbe and Co. Lakini amejikuta ameweka hapo,natamani asome PCM,PCB au CBG badaye maana ndio sehem pekee yakuweza kujiajiri badae
asanteSpecial school is for specal talented student ,, ( kibaha, iliboru, mzumbe ,tabora boy, kisimiri , msalato na kilakala)
Hiv yupo wap huyu Mzeee,aliishi TTC kama mfalme shenzi zakeTETI
Siku hizi technical school ukimaliza form four una option ya kusoma comb hizi tu PCB na PCM kama ulichagua biology over geography na PCM, EGM, na PGM kama ulichagua geography over biology so haiwezekani kusoma CBG. Tanga school ni shule nzuri akijitahidi atafaulu ila masomo ya ufundi ni magumu na syllabus yake haipo vizuri.Mkuu wa matokeo yake jinsi yalivyo nilidhani angeenda Mzumbe and Co. Lakini amejikuta ameweka hapo,natamani asome PCM,PCB au CBG badaye maana ndio sehem pekee yakuweza kujiajiri badae