Thread zingine bwana hazina kichwa wala miguu! Unakuwaje mtu unapost thread ambayo wewe mwenyewe una uhakika msomaji atauliza maswali. Kwa nini usifafanue kilichotokea ndipo uombe michango ya wasomaji. Wewe unadhani kila mtu amesikia/ameona hicho unachozungumzia!! Tabu kwelikweli.
Nashukuru Gosbertgoodluck!, nadhani kwa hekima na busara zako umeona hii ndo njia yakunishauri,but hakuna tatizo nitalifanyia kazi hili,cz nimeamini we are not wise with other men's wisdom.