Je tamko la baadhi ya vigogo wa CCM kumchoka Mh kikwete ni mbinu ya kuwafumba macho watanzania?

ffoas

Member
Feb 23, 2011
34
5
je yaweza kuwa mbinu yakutupotosha au kutufumba macho sisiwatanzania?
 
Thread zingine bwana hazina kichwa wala miguu! Unakuwaje mtu unapost thread ambayo wewe mwenyewe una uhakika msomaji atauliza maswali. Kwa nini usifafanue kilichotokea ndipo uombe michango ya wasomaji. Wewe unadhani kila mtu amesikia/ameona hicho unachozungumzia!! Tabu kwelikweli.
 
Una malengo mazuri lakini fafanua zaidi,nini kilitokea na akina nani waliotoa hiyo tamko!!!!!
 
Nashukuru Gosbertgoodluck!, nadhani kwa hekima na busara zako umeona hii ndo njia yakunishauri,but hakuna tatizo nitalifanyia kazi hili,cz nimeamini we are not wise with other men's wisdom.
 
Back
Top Bottom