Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,628 May 17, 2023 #1 Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba. Je hii ni dalili kama amesaini Simba? Jionee mwenyewe: Your browser is not able to display this video.
Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba. Je hii ni dalili kama amesaini Simba? Jionee mwenyewe: Your browser is not able to display this video.
DELETED ACCOUNT JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 9,805 Reaction score 15,475 May 17, 2023 #2 Anasaini huku anaitwa fala?
Wakusoma 12 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 5,435 Reaction score 15,556 May 17, 2023 #3 SIMBA WANAPENDA SANA VYA BEI CHEE.
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,180 Reaction score 4,173 May 17, 2023 #4 Mchezaji wa mwisho Simba kumsajili kwa wakati ni Perfect Chikwende baada ya hapo ni Mo na selfie za akina Adebayor,Aziz Key,Manzoki n.k
Mchezaji wa mwisho Simba kumsajili kwa wakati ni Perfect Chikwende baada ya hapo ni Mo na selfie za akina Adebayor,Aziz Key,Manzoki n.k
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 24,077 Reaction score 37,672 May 17, 2023 #5 Simba waache ujinga, watafute quality players.
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,828 Reaction score 40,440 May 17, 2023 #6 Suley2019 said: Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba. Je hii ni dalili kama amesaini Simba? Jionee mwenyewe: View attachment 2625327 Click to expand... Anasaini na jezi ya Simba mbele ya mashabiki wa Azam?
Suley2019 said: Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba. Je hii ni dalili kama amesaini Simba? Jionee mwenyewe: View attachment 2625327 Click to expand... Anasaini na jezi ya Simba mbele ya mashabiki wa Azam?
E Emmahu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 977 Reaction score 1,715 May 18, 2023 #7 econonist said: Simba waache ujinga, watafute quality players. Click to expand... Kwa level ya wachezaji wa ndani huyu anatosha, uwezi kumlinganisha na uchafu nasoro kapama.
econonist said: Simba waache ujinga, watafute quality players. Click to expand... Kwa level ya wachezaji wa ndani huyu anatosha, uwezi kumlinganisha na uchafu nasoro kapama.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,568 Reaction score 9,436 May 18, 2023 #8 Utabaki haphapa fwala wew, au nmeskia vby
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,775 Reaction score 28,224 May 18, 2023 #9 hiyo ndo level yenu mwakarobo
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,196 Reaction score 11,624 May 18, 2023 #10 Dah kuna watu ni wenu sana