Je smartphones hazitaadimika nchini?

Je smartphones hazitaadimika nchini?

Sidhani kama ingekuwa approach sahihi kuzuia au kuweka mazingira magumu kuingiza vifaa vya mawasiliano kama wana lengo la dhati kudhoofisha matumizi ya mitandao ya kijamii. Hiyo ingekuwa very direct na rahisi kuwa noticed na conscious individulas amabao wanatetea Uhuru wa habari na haki za binaadamu kwa ujumla.

Na pia isingekuwa na effect kubwa kuzuia flow of information sababu tayari kuna mizigo mikubwa ya vifaa vya mawasiliano tayari ndani ya nchi kama vile modems, pcs na simu janja zenyewe , nyingi zikiwa mikononi mwa wateja tayari na nyingine zikiwa sokoni tayari.

The possible way wangeweza fanya ni kudeal na mitandao ya simu ili kuweza kuminya bundles hasa mbs za data na kuziweka kuwa bei ghali....mfano mb 7 ufanye 500/=. Hapo wengi wangekuwa discouraged sababu hupati thamani ya pesa yako.

Na pia kuwabana mitandao ya simu kutokuruhusu free access kwenda kwenye mitandao ya kijamii kama vile free facebook nk.
 
Wewe naona unanisaidia kiasi fulani kupata majibu.
 
Back
Top Bottom