Je, Simba SC tunalo la kujifunza kutoka kwa Yanga SC?

Simba huwa tunazungumzia changamoto zetu na namna ya kuzitatua.
Seals la muunganiko sio seals la kujifunza kwa timu nyingine kwani no la kiufundi zaidi ama Aina ya uchezaji au upangaji was timu.
 
Simba miaka 4 iliyopita tulikua bora sana ila hatukuwahi kufikia ubora huu wa Yanga wa miaka hii 2.
Simba ilionekana bora kwakua Yanga ilikua inatembeza bakuli na bado Yanga ilitoa ushindani wa kutosha.
Yanga ilikua ikianza na Ditram Nchimbi na substitution yupo Yipe.

Sasa timu zinalingana ki uchumi na maji na mafuta yanajitenga.
 
Sio Kwa Ubaya, Nikiri Wazi Mimi ni Shabiki Kindakindaki wa Simba Sc. Naipenda Hii Timu mnoo. Ila Katika mpira au Biashara yoyote ya Ushindani Ni Vizuri kujifunza Mpinzani wako wa Karibu yeye anafanye ili uweze kufika Mbali.



Simba Sc Tusione Aibu kujifunza Kwa Yanga, Ni hayo tuu.
Kocha wa yanga yupo Kiwango cha juu
 
Kwani wanaocheza vizuri kuliko Simba wanataji gani mpaka sasa au ndo kumfunga KMC goli 5?... Na yule golikipa wa KMC sio bure kuna namna pale yani kuna goli 3 alizofungwa zinawalakini... Halafu Simba inayojitafuta (kwa mujibu wa mleta uzi), tayari wanayo Ngao ya Jamii hivi siku wakijipata itakuaje sasa?...
Ngao iliyopatikana kupitia Rose Mhando?
 
huo ushauri wape azam, kmc, mashujaa,, mtibwa, singida, kagera, namungo, jkt, dodoma, na wengineo.
 
Yanga wamejifunza kwa Simba ndio unaona wamefika hapo,

Walimchukua Senzo wakaweka mifumo, ndio wanaishi humo,

Sema nn hawa mudi na mwenzie Bilal wakisusa tu timu zinarudi kutembeza bakuli,
 
Sio Kwa Ubaya, Nikiri Wazi Mimi ni Shabiki Kindakindaki wa Simba Sc. Naipenda Hii Timu mnoo. Ila Katika mpira au Biashara yoyote ya Ushindani Ni Vizuri kujifunza Mpinzani wako wa Karibu yeye anafanye ili uweze kufika Mbali.

Timu Za Simba Na Yanga Zote zilifanya Usajiri kwa Muda unao fanana na Vikosi vyote viliungana kwa Muda Unaofanana.
Umeongea kama mwanamichezo ndugu, ila utafokewa mpaka ujute.
 
Hatuna cha kujifunza..hao Utopolo naona ndio wako darasani walitumia notisi za Simba...msimu uliopita tulikuwa tunafunga watu zaidi ya goli tano zaidi ya mechi moja na Utopolo hawakuwahi kufikisha hata goli nne.
Wanasimba kama wewe mtoa Uzi ni wale mnaoenda na upepo...hamna msimamo.
 
Simba ni Simba na Yanga ni Yanga, hata jezi zao zipo tofauti. Ni ujinga kuwaza ulivyo waza.

Ikiwa una mahaba na Yanga songa mbele na Yanga yako, tuachie Simba yetu.
Wanazi kama hawa ni janga kwa maendeleo ya mpira eti simba ni simba na Yanga ni yanga kwani simba anacheza rede na Yanga anacheza msako?
 
Kapagawa na goli 5, msimu ulioisha simba ilifunga magoli 75 kama sikosei yanga waliishia 60na kitu lakini tulipotezacubingwa zikiwa zimebaki mechi 3

Ishu ni timing ya ushindi, sio magoli mengi
 
Mashabiki wa simba mna shida sana aisee. Jamaa alichoongea mnaona kama hakina maana lakini si muda mtaanza michuano ya supercup mtaona maana ya hiki anachoongea. Unafikiri Robertinho hataki kufanya rotation kama Gomond? Wachezaji wengi hawajaingia kwenye mfumo wake ndomana. Jamaa anaongea point et mnaweka picha ya ngao ambayo mmebeba kwa penalty za mchongo🤣🤣🤣.

Ttzo mnajipa ukubwa ambao si lazima miaka yote uwe mkubwa. Hatukatai simba kwenye michuano ya CAF mko mbali lakini msipojiangalia yaanga anakuja na atawapita itabidi muanze kujifunza kwake.. hope mliona ya mwaka jana. Haiwezekan michuano unayo mengi lakini lakini ni wachezaji wanne tu ambao wamesajiliwa ndo angalau wanajitafuta kuingia kwenye mfumo while michuano ya kimataifa inaanza si muda! Endeleeni kukaza fuvu mtakipata
 
Back
Top Bottom