Je, simba inakamiwa au ni uwezo wao kwa sasa

Mchezaji yeyote anapata jina kwa kuifunga timu kubwa yenye jina.

Kwa hiyo kila mchezaji anawaza kuifunga Simba ili apate jina...
Pia anakua na nafasi kubwa ya kucheza dakika zote 90 kwenye kikosi chao, kiufupi anakua ni mchezaji tegemezi hata kama goli alilofunga lilikua la penalty
 
Maingizo mapya kwa Simba ni mengi na wote wazuri na umri wao wengi ni wadogo.
Simba aijasajili wazee kama Ntibazonkiza na wakina Bangala.
Subirini mtapelekewa moto muda si mrefu.
 
Nimeona watu wengi wanasema kuwa simba wanakamiwa na timu ndogo kitu ambacho si kweli.
Why simba na si Yanga?

Ukweli ni kiwa simba ilishafikia peak ya mafanikio 'na wachezaji walishatumika vya kutosha ivyo hali wanayopitia simba ni kama ile walikutana nayo liverpool msimu uliopita ivyo ni lazima kwa simba kukubali kupitia kipindi cha mpito na kuandaa kikosi kipya.
Kwani wamecheza mechi ngapi za ligi na wanatouayi ngapi na anayeongoza ligi? Naona dalili zote za topolo lililoiva
 
Alisikika kolo mmoja kutoka viunga vya Umbumbumbini.
Kama kawaida yako daima mbele nyuma.....😹😹😹😹

079CA8F5-CC23-47A6-AB1B-B86446307AC1.jpeg
 
Hah simba anaongoza ligi.Bad y sare ya biashara na yanga kushinda watu wakasema simba ndo basi tena na yanga wakajitangaza mabingwa.Mara paaap simba kashinda na kawa kileleni.Si ajabu akabaki hapo mpaka mwisho wa msimu
Ee kashabakia hapo
 
Tulishasema kabla hata ya msimu kuanza! No Chama, no Louis; No Simba! Kama ni Morrison, yeye ameamua kuwekeza kwenye kufuga ndevu kama Ligendaeka vile.
 
Nimeona watu wengi wanasema kuwa simba wanakamiwa na timu ndogo kitu ambacho si kweli.
Why simba na si Yanga?

Ukweli ni kiwa simba ilishafikia peak ya mafanikio 'na wachezaji walishatumika vya kutosha ivyo hali wanayopitia simba ni kama ile walikutana nayo liverpool msimu uliopita ivyo ni lazima kwa simba kukubali kupitia kipindi cha mpito na kuandaa kikosi kipya.
Simba wanavunjwa miguu unaona ule ni mpira wa kawaida walizocheza biashara na Dodoma Jiji.

Kumfunga Simba au kutoa droo unajisifu kwamba ww ni bora km simba.

Tujipe muda mpaka mzunguko wa tano wa ligi mtakuja hapa tukiwa tumeshaelewana.

Soon mtaanza kulaumu tff, Marenga na washika vibendera.

Bado Yanga hawana timu ya uhakika ya ushindi.

Kinachotafutwa Sasa na Utopolo Ni kutaka kuwafukuza mashabiki kwa gharama yyte.

Viongozi wa serikali wanaotoa hela za bonus KWA timu ndogo kuikamia Simba wote ni mashabiki wa Yanga.
JamiiForums1212433887.jpg
 
Mwamedi muhindi fake na makonda ndio waasisi wakubwa wa huo ushenzi mwaka miaka 4 iliyopita
Narudia tena toeni hata milioni 500 mkitaka ila hayo maagizo ya wachezaji wa simba kurukiwa mateke as if ile ni MMA yaishe kama vipi hizo hela kakodini majambazi yavamie kambi ya simba na kuwakatakata mapanga , acheni ugaidi
 
Back
Top Bottom