Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 393
Hahaha π€£Elfu sabini na nne mkuu wangu
Usijal mkuuHakikisha budget ya wadada watikisa makalio is included kijana π i'm a big fan of that pia donβt forget to send me an invitation mheshimiwa,napatikana Tandale hapa
InshallahNgoja waje
Nitashukuru sanaUsijal mkuu
Hahaha Aya bossShughuri Ndio Kitu Gani...???Shughuli Ifanye Bei Rahisi Tu...Kama Vifaa Vya Kielekitroniksi...
###WALIMWENGU HAWARIDHIKI####
Fanya shughuri yako kulingana na bajeti yako na uipange iwe unavyotaka wewe!Assalamualaikum ndugu yangu
Natarajia kufunga ndoa ya kislamu mwezi 5 inshallah wenye uzoefu gharama zake zipoje nipo dar es salaam pia kama unauza Michele jumla nikupe tenda ,
Je shughuri Yako ulitumia gharama bei Gani ?
Mwezi wa tano mbona mbali hivyo shekh wangu vuta jiko kabla ya ramadhani, we tafuta shekh, ngano kilo 15 na sukari, ndoa imeisha.Assalamualaikum ndugu yangu
Natarajia kufunga ndoa ya kislamu mwezi 5 inshallah wenye uzoefu gharama zake zipoje nipo dar es salaam pia kama unauza Michele jumla nikupe tenda ,
Je shughuri Yako ulitumia gharama bei Gani ?
Hataki kupikiwa iftari huyo anataka kula futari za mama ntilie πMwezi wa tano mbona mbali hivyo shekh wangu vuta jiko kabla ya ramadhani, we tafuta shekh, ngano kilo 15 na sukari, ndoa imeisha.
Au nasema uongo Harmful π