hii kinaitwa factors that shaping the news!, he who pays the piper, may call the tune!.Kwa kuwa vyombo vya habari, hususani magazeti, hujiendesha Kwa kutumia matangazo ya biashara, na Serikali ikiwa ndiyo mtoaji mkubwa wa matangazo hayo, huweza "kuvipendelea" vyombo vya habari vinavyosifu sifu utawala huu wa CCM, Kwa kutumia lugha yao kuwa "Rais Samia anaupiga mwingi"na hivyo kutotoa matangazo hayo Kwa vyombo vya habari, ambavyo vinatekeleza wajibu wao kikamilifu wa kukosoa na hivyo kuvinyima matangazo hayo na hivyo kuvifanya vyombo hivyo vya habari binafsi, kutoweza ku-survive katika soko hilo.
Sii kweli, serious media haitakiwi kuitegemea serikali!, Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?Kwa Serikali kujifanya Iko 100 percent perfect, ndiko kunakoifanya ifanye figisu figisu hizo za kuvinyima fursa hiyo ya matangazo vyombo hivyo vya habari ambavyo viko "serious"
Mbona tunasifu na kukosoa?. Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa!Hivi katika nchi kama yetu, ambayo imeweka mfumo wa kumfanya Rais wetu, ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa chama chake, kuwa kama mungu- mtu, ambaye ni binadamu, kutotoa nafasi ya kukosolewa, kunadhoofisha Sana mfumo wa utawala Bora.
Naunga mkono hoja, Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!Kwani vitabu vyote vya dini vinaamini kuwa ni Mungu pekee, ambaye yuko 💯 percent perfect, ambaye hapaswi kukosolewa.
Hata Samia sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe mudaLakini sisi binadamu wote tuna mapungufu yetu na hivyo kutufanya kutumia njia ya kukosolewa kama njia ya kujirekebisha na hivyo kurudi kwenye msitari.
Ni kweliUkiviacha vyombo vya habari vya mtandaoni kama Jamii forum, ambavyo uhuru wao wa kukosoa uko juu, vyombo vingine vya habari, kama vile magazeti, Televiisheni na Radio, uhuru wao wa kutoa habari upo chini Sana hapa nchini kwetu.
Not necessarily!, katiba mpya is not a panacea ya matatizo yote nchini kwetu!.Dawa pekee na ya kudumu ni kupata Katiba mpya, ambayo itaweka mifumo imara ya kiuongozi wa nchi
Wewe Kama una habari mbaya na ndio zikufurahisha si uripoti hata kutokea if kwani Kuna tatizo?Kwa nchi yoyote yenye utawala Bora, inavitumia vyombo vya habari kama mhimili wao wa 4, usio rasmi, baada ya mihimili rasmi ya Serikali, Mahakama na Bunge, katika kuendesha nchi.
Huwa wanavitumia vyombo vya habari kama "watchdogs" vyao Kwa kuwa huwa wanakosoa, Ili serikali Ione mapungufu yake Ili ijirekebishe, katika kuwaletea maendeleo wananchi wake.
Hali ni tofauti Sana hapa nchini kwetu, Kwa kuwa mihimili yote 3, yaani Serikali, Mahakama na Bunge, yote ni kama "imemezwa" na Mhimili wa Serikali, ambao ndiyo unaoelekea kuwa "umejichimbia" zaidi chini, hivyo kufanya mihimili mingine ya Bunge na Mahakama kutoweza kufurukuta!
Hata hivyo pamoja na mihimili hiyo 2 "kumezwa" na Mhimili mmoja, ambao ni Serikali, Bado hufanya Mhimili mwingine, usio rasmi, wa vyombo vya habari, kufanya kazi yake ya kukosoa Kwa weledi mkubwa, hivyo kuufanya Mhimili wa Serikali, kufanya kazi yake ikijirekebisha pale ilipokosolewa.
Hapa nchini kwetu, Mhimili wa Serikali, unachukua nafasi ya u-mungu-mtu, ambao hautaki kabisa kukosolewa na hivyo kufanya utawala Bora, kuwa kama hadithi tuuu ya alifu lela ulela!
Serikali inaweza kusema inatoa uhuru Kwa vyombo vya habari, pamoja na vile vya binafsi, kuwa huru, lakini "indirectly" uhuru huo wanauminya!
Kwa kuwa vyombo vya habari, hususani magazeti, hujiendesha Kwa kutumia matangazo ya biashara, na Serikali ikiwa ndiyo mtoaji mkubwa wa matangazo hayo, huweza "kuvipendelea" vyombo vya habari vinavyosifu sifu utawala huu wa CCM, Kwa kutumia lugha yao kuwa "Rais Samia anaupiga mwingi"na hivyo kutotoa matangazo hayo Kwa vyombo vya habari, ambavyo vinatekeleza wajibu wao kikamilifu wa kukosoa na hivyo kuvinyima matangazo hayo na hivyo kuvifanya vyombo hivyo vya habari binafsi, kutoweza ku-survive katika soko hilo.
Kwa Serikali kujifanya Iko 100 percent perfect, ndiko kunakoifanya ifanye figisu figisu hizo za kuvinyima fursa hiyo ya matangazo vyombo hivyo vya habari ambavyo viko "serious"
Hivi katika nchi kama yetu, ambayo imeweka mfumo wa kumfanya Rais wetu, ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa chama chake, kuwa kama mungu- mtu, ambaye ni binadamu, kutotoa nafasi ya kukosolewa, kunadhoofisha Sana mfumo wa utawala Bora.
Kwani vitabu vyote vya dini vinaamini kuwa ni Mungu pekee, ambaye yuko 💯 percent perfect, ambaye hapaswi kukosolewa.
Lakini sisi binadamu wote tuna mapungufu yetu na hivyo kutufanya kutumia njia ya kukosolewa kama njia ya kujirekebisha na hivyo kurudi kwenye msitari.
Ukiviacha vyombo vya habari vya mtandaoni kama Jamii forum, ambavyo uhuru wao wa kukosoa uko juu, vyombo vingine vya habari, kama vile magazeti, Televiisheni na Radio, uhuru wao wa kutoa habari upo chini Sana hapa nchini kwetu.
Dawa pekee na ya kudumu ni kupata Katiba mpya, ambayo itaweka mifumo imara ya kiuongozi wa nchi
Vipo vyombo vya habari vichache, ambavyo vina uthubutu wa kukosoa Ili watawala wetu, wajirekebishe na warudi kwenye msitari na watuongoze Kwa haki.Wewe Kama una habari mbaya na ndio zikufurahisha si uripoti hata kutokea if kwani Kuna tatizo?
Kwenye haya magazeti hapa chini Kuna habari nzuri tuu? 👇View attachment 2461643View attachment 2461644View attachment 2461645View attachment 2461646View attachment 2461647View attachment 2461648View attachment 2461649
Kwani vilianzishwa ili kutegemea matangazo ya serikali unayoikosoa? Huko Ni kukosea njia sasaVipo vyombo vya habari vichache, ambavyo vina uthubutu wa kukosoa Ili watawala wetu, warudi kwenye msitari na watuongoze Kwa haki.
Katika vyombo hivyo vya habari vya binafsi, pamoja na kufanyiwa figisu figisu za "kubaniwa" kupewa matangazo na Serikali, Sina budi kutoa kongole Kwa gazeti la Raia Mwema🤝
Huo ndiyo ukweli mchungu ambao watawala wetu wa CCM hawataki kuusukia.Kwani vilianzishwa ili kutegemea matangazo ya serikali unayoikosoa? Huko Ni kukosea njia sasa
Nambie sekta yeyote ambayo nchi yetu imefanikiwa kwa kiwango cha kimataifa. Uchumi, elimu, michezo, afya, siasa nk. Kifupi sekta ya habari haiwezi kuwa kisiwa katika bahari. Wanahabari wetu wengi wanapitia mfumo wa elimu ulio dhaifu. Watu wanashindana kununua Phd madukani.hii kinaitwa factors that shaping the news!, he who pays the piper, may call the tune!.
Sii kweli, serious media haitakiwi kuitegemea serikali!, Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?
Mbona tunasifu na kukosoa?. Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa!
Naunga mkono hoja, Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!
Hata Samia sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
Ni kweli
Not necessarily!, katiba mpya is not a panacea ya matatizo yote nchini kwetu!.
P
Unataka kuniambia kuwa hata hapa JF uhuru wa kutoa habari haupo?🤐Nambie sekta yeyote ambayo nchi yetu imefanikiwa kwa kiwango cha kimataifa. Uchumi, elimu, michezo, afya, siasa nk. Kifupi sekta ya habari haiwezi kuwa kisiwa katika bahari. Wanahabari wetu wengi wanapitia mfumo wa elimu ulio dhaifu. Watu wanashindana kununua Phd madukani.
Kifupi nchi yetu ni kama imelaaniwa. Siku hizi hata hapa jf ukuiikosoa serikali uzi unaondolewa haraka. Uhuru pekee wa habari tuliobaki nao ni wa kuongelea kwenye mabaa na migahawa kwa tahadhari
Katiba mpya na iliyo bora bila shaka ndiyo suluhu ya matatizo ya uhuru wa vyombo vya habari hapa nchini. Kwasabb itatoa uhuru wenye mipaka kwa mkosoaji na mkosolewa. Itamdhibiti kwa kumpa mamlaka yenye ukomo huyu ambaye Sasa tunamuita mungu-mtu.Not necessarily!, katiba mpya is not a panacea ya matatizo yote nchini kwetu!.
P
Kama alivyosema mleta mada kuwa nchi yetu hii sehemu kubwa ya matangazo yanatoka serikalini. Na sababu ni moja tu.....serikali ndiyo imeshikilia sekta nyingi za uchumi na ajiraKwani vilianzishwa ili kutegemea matangazo ya serikali unayoikosoa? Huko Ni kukosea njia sasa
Walioanzisha hizo biashara hawakujua Hilo?Kama alivyosema mleta mada kuwa nchi yetu hii sehemu kubwa ya matangazo yanatoka serikalini. Na sababu ni moja tu.....serikali ndiyo imeshikilia sekta nyingi za uchumi na ajira
Mkuu Mystery , hakuna kitu kizuri kama appreciation ya kizuri kidogo kilichopo na mimi najisikia fahari kuwa sehemu ya Raia MwemaVipo vyombo vya habari vichache, ambavyo vina uthubutu wa kukosoa Ili watawala wetu, wajirekebishe na warudi kwenye msitari na watuongoze Kwa haki.
Katika vyombo hivyo vya habari vya binafsi, pamoja na kufanyiwa figisu figisu za "kubaniwa" kupewa matangazo na Serikali, Sina budi kutoa kongole Kwa gazeti la Raia Mwema🤝
Bwana Mayala tangu wakati ule Magufuli alipokupiga na kitu kizito haujawahi kurudi kwenye mstari.hii kinaitwa factors that shaping the news!, he who pays the piper, may call the tune!.
Sii kweli, serious media haitakiwi kuitegemea serikali!, Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?
Mbona tunasifu na kukosoa?. Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa!
Naunga mkono hoja, Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!
Hata Samia sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
Ni kweli
Not necessarily!, katiba mpya is not a panacea ya matatizo yote nchini kwetu!.
P
Naomba utofautishe uhuru wa kuikosoa serikali na uhuru wa kutokana serikali na viongozi wake. Kama ni ukosoaji with facts, if bado tunaongoza sana kuisaidia serikali kwa ukosoaji na nyuzi hazifutwi!. Ila kuna wenzetu humu ambao sio wazima, badala ya kuikosoa serikali wao ni kutokana na kuwatukana viongozi, if modes ni wazima wako macho na halali..Kifupi nchi yetu ni kama imelaaniwa. Siku hizi hata hapa jf ukuiikosoa serikali uzi unaondolewa haraka. Uhuru pekee wa habari tuliobaki nao ni wa kuongelea kwenye mabaa na migahawa kwa tahadhari