Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,100
Hio inahusiana vipi na hio ya rc dsm?
Hebu mpigie umuulize kisha utujuze.
Hio inahusiana vipi na hio ya rc dsm?
Habari wanaJF,
Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam).
Je, ni wakuu wa mikoa wote wanatumia Magari haya?
Je, kama si mali ya Serikali inawezekana Watu binafsi kutumia Magari yenye Plate Number zinazofanana na za viongozi wa umma?
Kama ni mali ya Mkuu wa Mkoa, Je ni sawa kutumia Plate Number yenye hadhi ya Uongozi wa Umma katika magari binafsi?
Endelea kuomba dua mbaya lkn ujue wewe ndio utakufa njaaYana mwisho....na mwisho wake huwa mbaya....subiri Sizo atoke pale kwa hiari au shari au kutwaliwa uone maisha yatavyo badilika.....from Vogue to Kalandinga.....! Time will tell
tujiulize,alichokifanya ni sawa?mimi niliona tangu mwanzo hakuwa na mamlaka yoyote ya kufanya alichokifanya.alichotakiwa kufanya kama alikuwa na ushahidi ilikuwa ni kuwapeleka mahakamani.mwisho wa siku kazi wamepewa wahusika hausikii mtu kutaka sifa kwa kuwachafua wengine.Hoja yangu ni kuwa. Kelele nyingi kuhusu RC huyo zilianza baada ya kutuhumu watu kwa madawa. Whether utekelezaji wake ulikua butu au la. Hivyo inawezekana wanaomlalamikia ni wanufaika.
Well said
Hivi..ni kwamba hao wakuu wengine hawana magari yao binafsi ya kufanya hayo?
Leo hii Halima Dendegu, Jordan Rugimbana ama Anna Mghwira akifanya haya kwenye magari yao binafsi (Passo, Rav 4 au Kluger) watasalimika?
Zzk aliposema "Malimbukeni na Washamba" aliwahusu watu wa "Jamii hii"?
Tangu usichana wao na maisha yao yote Fenella Mukangara na Janeth Mbene wamekulia kwenye familia zilizo bora (Ni moja ya wanasiasa/ viongozi waliotoka familia za ushuani kabla na hata baada ya kuolewa) walikua wakiendesha na kutumia magari ya kifahari! Lakini walipopata dhamana ama nafasi za uongozi hawaku wahi wala kuthubutu kufanya mbwembwe hizi tunazo zishuhudia kipindi hiki!
Ni mara baada ya kukosa nafasi ya uwakilishi jimbo la Kibamba (Fenella) amekua akiendesha Range Rover hadharani tena yeye mwenyewe na hata baada ya kukatwa ubunge EAC..
Ama ndio wanaiga lifestyle ya sampuli za viongozi wa Equtorial Guinnea, Congo Brazaville, Cameroon na hata Gambia? Name it!
Si kwamba namuonea wivu! LA hasha..kuna kitu kinakosekana hasa cha uongozi!
Unatoa taswira gani kwa mwananchi anae tembea kwa miguu kwa kukosa nauli toka msasani mpaka mbezi beach kwenda lindoni ?
This is not fair jamani..uswahili huu ukiufanya kimya kimya nani atakuuliza?
Tuna mijitu mishamba ya hovyo na milimbukeni inayojali social status bila kujali hali na maisha ya wanyonge!
Eti tuwaombee..! Tuwaombee nini? Kuomba omba bila kua specific ni uwendawazimu..mnachosha mnakera na kukatisha tamaa!