mume wa mtu
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 653
- 386
Mbona hajamfuatilia babaako?ni kwasababu huyo anaemfuatilia ni kiongozi na wanahudumiwa kwa kodi zetu lazima kuwe na kizazi cha kuhoji kinachofanyika ni sawa kwa taratibu za kiserikali?nyie mnaoona itafika awamu ya msiowapenda mtakuja humu kuhoji haya haya yanayofanyika leo.Wewe na watu wa jamii kama yako mkipimwa akili unaweza kukuta kunamatope kichwani. Yaani unakaa unafuatilia mtu as if kupitia huyo mtu unajipatia kipato. Mbona hatuoni mkafanyia uchunguzi wakuu wa mikoa wengine. Kwa stahili hii tunasafari ndefu sana ya maendeleo.