Chadema inatumia Ruzuku zitokanazo na kodi yetu.Wewe mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?
Nani aliyeko CHADEMa ambaye unaweza kumsifia na kwa lipi?
Chadema inatumia Ruzuku zitokanazo na kodi yetu.
Kwa hiyo mambo ya Chadema ni mambo ya Umma wa watanzania.
Hata hivyo ni vyema kuwasaidia makamanda namna bora za kufikiri na kupembua mambo ndani ya Chama chao.
Yaani hata nyie makamanda na makarai ya Zege mnashindwa kuelezea alichofanya Mwalimu ndabi ya Chadema kwa nafasi yake kubwa aliyonayo huko Chamani.Mtulia lazima aigwe na wenye njaa kuuza utu sio jambo dogo
Mtulia kawafanyia nini ccm?Yaani hata nyie makamanda na makarai ya Zege mnashindwa kuelezea alichofanya Mwalimu ndabi ya Chadema kwa nafasi yake kubwa aliyonayo huko Chamani.
How do you expect wananchi wa Kinondoni wamuamini kufanya jambo ?
Niletee something tangible ...niletee matokeo ya kiwango cha juu ya ndugu mtangazaji salumu alichokifanya ndani ya Chadema visiwani so far!!Mbona unatoa mate na Ruzuku za CHADEMA, huongelei Audit Reports za CCM?
Huoni haya kuonyesha unafiki hadharani wa kuulizia matumizi ya CHaDEMA, bila kuhoji fedha mnazonunua wapinzani kwamba ni kodi za wanachi?
Unapata wapi ujasiri wa kuonyesha unajali ustawi wa CHADEMA huku macho yako hayaoni namna mnavyowauwa wapinzani (siyo upinzani), wasomi wenye hoja za kujenga bila kjali kwamba mnamwaga damu ya "raslimali muhimu za taifa".
Kwa nini usihoji ccm imefanya nini cha mfano kw ataifa?
Kubagua watu kwa itikadi za vyama? kuua watu, kukaa ubavuni mwa maneno ya Mwenyekiti, kuwanyima ama kuzuia maendeleo katika majimba yanoongozwa na upinzani huku mkikusanya kodi zao?
Niletee something tangible ...niletee matokeo ya kiwango cha juu ya ndugu mtangazaji salumu alichokifanya ndani ya Chadema visiwani so far!!
Ni swali rahisi sana kujibu kama kuna mafanikio aliyoachieve.
Polepole+kinana+bulembo=salum mwalimuKama Naibu Katibu Mkuu-Visiwani wa CHADEMA Salum Mwalimu atakumbukwa kwa lipi hasa katika uongozi na cheo chake hiko?
Je kuna jambo lolote jipya alilowahi kuiletea CHADEMA mara baada ya kuachana na utangazaji wa habari na kujiunga rasmi CHADEMA?
Je kuna ushauri wowote wa maana na mkubwa aliowahi kuutoa kwa CHADEMA na ukawa na manufaa au upekee maalumu kwa chama?
Je kwa kipindi chake cha uongozi katika CHADEMA kuna anything positive katika kuiimarisha CHADEMA huko visiwani?
Je CHADEMA Visiwani ina ofisi mpya au za maana zilizoanzishwa na huyu Naibu Katibu Mkuu? Je kuna programme za maendeleo ya chama na wanachama huko Tanzania visiwani?
Karibuni Makamanda!