Je, Ruge/Clouds walikuwa katika list ya wauza madawa?

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
3,729
Naenda moja kwa moja kwenye mada yangu,
Kutokana na maelezo ya mkuu wa mkoa Leo katika kipindi cha MBIVU NA MBICHI Rc wetu huo (jina mnalijua) amekiri kuwa hawa jamaa au pale ndani palikuwa ndo nyumbani kwake,
Alikuwa anauwezo wa kugombana na watu huko nje akaja akakimbilia hapo mama nyumbani kwao bila hofu yyte,
Leo hii amediriki kusema kuwa hakujua kuwa alikuwa katika mikono mibaya zaidi na point yake kuu anasema VITA YA MADAWA HAIJAWAHI MUWEKA MTU HURU,
Anadai kuwa anajua mabaya mengi sana ya RUGE ukizingatia na family partner wake,
Pia anasema kuwa kama yeye alitumia vyombo vyake kujilindia (media) je akiamua na yeye atumie vyombo vyake vya ulinzi kujilinda ataoneka mbaya?
Anashangaa urafiki wa clouds na efm unakujaje wakati boss wa efm yupo katika list ya wauza madawa,?

Sasa napata ukakasi kujua je ukiachana na Yule mfanyakazi wao kuna Madon waliachwa?
Na kama waliachwa kwanini RC WETU MPENDWA asituombe wananchi wake msamaha kwa kuigiza kufanya operation ya madawa kumbe anatafuta kiki kwa vidagaa huku akiyaacha mapapa yanaelea?
Iwe kwa kujua au kutokujua kuwa anashiriki na majambazi anatuambia nini wananchi wake? Je watendaji wake hawakuwa wanafanya kazi ipasavyo, (polisi) au aliweka guard kuwa jamaa zangu wasiguswe maana naendaga kula maharage kwa mama nani sijui......??


La mwisho kabisa anajipimaje na uongozi wake?
 
Huwezi kua na akili timamu ukamuelewa DAB labda uwe na mtindio wa ubongo ndio unaweza kuelewa anachokiongea.

Mtu ambae ulimi ni mkubwa kuliko mdomo, chunga sana watu wa aina hiyo, wengi ni mataahira na mazezeta.

Chochote ambacho ukimuuliza DAB sasa hivi atasema madawa ya kulevya hayajawahi kumuacha mtu salama, hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom