Hizi elimu za roho,nafsi, universe ni nzuri Sana kuzifahamu Ili uijue dunia kuepuka kutapeliwa na waganga au wachungaji washirikina.
kalonji inaelekea wewe ni meditator na una ufahamu mpana kuhusu haya mambo ya kirohoTaamuli au meditation pia ni kitendo cha roho kuicha mwili na kwenda kutembea.
Thus mwili ukistuliwa kabla roho haijarudi ni rahisi kufa mazima.
Thus ufanyapo meditation tafuta sehemu tulivu usipoweza bughudhiwa na watu Ili roho irejee salama ikitoka kuzurura.
Usingizi ni nusu kifo na ndoto ni kitendo cha roho kuiacha mwili kwa muda.Thus tunashauriwa mtu akilala usimtue mwamshe taratibu mfano mshike kichwa au miguu au mgonge taratibu taratibu Ili roho yake ilipo ipate nafasi ya kurejea pale mwili unapoguswa taratibu.Ukimstua ghafla mtu anaeota au anaekoroma atakufa.
Kabla ya kumuasha mtu muite jina lake.Jina ni kiunganishi cha roho,nafsi na mwili.


Ni msikilizaji mzuri wa elimu na mikasa mbalimbali apitiayo mwanadamu kupitia simulizi kama za kina Davistar Mata.Nilimfatilia sheikh Omari Mnyeshani simulizi kwa Davistar mata hakika nimeshiba elimu kuhusu dunia.
Ngoja nachimba madini tuombe baraka yatoke soon takusapoti.Watu wanapigwa kiboya sana..Natamani mno kufungua chuo cha haya mambo
Safi kabisa..na hongera sana kwakweliNi msikilizaji mzuri wa elimu na mikasa mbalimbali apitiayo mwanadamu kupitia simulizi kama za kina Davistar Mata.Nilimfatilia sheikh Omari Mnyeshani simulizi kwa Davistar mata hakika nimeshiba elimu kuhusu dunia.
Hii dunia ukiijua haikupi tabu wala uhitaji kuukimbiza upepo Ili uishi.
A
Ngoja nachimba madini tuombe baraka yatoke soon takusapoti.
Hizi elimu ni muhimu sana kuzijua ulimwengu wa Sasa Ili uwe perfect.Hawa wachungaji washirikina pamoja na waganga wanawapiga sana watu wenye matatizo waliyojifunga nayo wenyewe na wanayo power wenyewe kujifungua matatizo yao.





Maandiko yanasema chochote kitakachofungwa duniani na mbinguni kimefungwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu kwani Mungu uyasikia na kuyajibu maombi ya wengi yafananayo na yaombwapo kwa unyoofu.Unaweza ukauliwa kiroho ungali unaishi kimwili yaani Jamii inaweza ikakuhukumu kifo ungali unaishi sababu ya matendo yako yasiyofaa dhidi ya Jamii hio.
Ukishauliwa kiroho ungali unaishi sio mda mrefu utatoweka kwenye ulimwengu wa kawaida kupitia kifo.Boss wa wasiojulikana kabla ajafa alishanenewa ombewa kifo na Jamii aliyoiumiza juu ya kuiumiza Jamii hio.Hakuna mahakama mbaya kuliko zote kama mahakama ya kijamii mahakama ya Jamii ni reflection ya wewe Jamii inakutazama vipi.Sabaya, chalamila, bashite,nk ni mfano wa kukataliwa na Jamii kiroho.
Maandiko yanasema chochote kitakachofungwa duniani na mbinguni kimefungwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu kwani Mungu uyasikia na kuyajibu maombi ya wengi yafananayo na yaombwapo kwa unyoofu.
Ogopwa Sana kunenewa mabaya na Jamii yako ishi nayo vyema.


Mtafute sheikh Omari Mnyeshani alikuwa ni mwenyekiti wa wachawi tza amesoma chuoni uchawi miaka 5 kisha akasoma uganga miaka 2 amefanya Kazi mda mrefu hadi akaamua kuyaacha mambo hayo leo kaokoka anawafundisha watu kuhusu kurudia Mungu,pia alishiriki kwenye matambiko ya kuitambikia nchi Lindi ni mtu mwenye elimu kubwa Sana zaidi ya phd kuhusu mambo ya kiroho mkifungua chuo itakuwa poa Sana Ili watu wapate elimu ya kujitambua na kujijua wao ni nani na lipi ni kusudi lao kuwepo duniani.
(Kusudi la mwanadamu kuwepo duniani ni kumuabudu Mwenyezi Mungu.)


Naomba ingia PM tafadhali kuna ya kujadiliana kwa kinana kinyume chake pia!usiku ndio muda wa uumbaji unafanyika,hivyo hata wagonjwa wengi hupona usiku
Picha kama HII mzee unaitoa wapi!!?kuzimu Kuna kamera!!?
hata mimi niliota sana hii kitu aiseemshana mi nlivokua mdogo kama miaka 7 hadi 9 nlikua naota ndoto moja ..na hii lazima nistuke usiku mnene..
naota niko juu ya mlima mrefu mwembamba...ila ni mrefu kama mnara..nimesimama on the peak najirusha...nashuhudia kabisa hivi naenda chini...ila nkukaribia ardhi ndo nastuka..uani sipat kushuhudia nlihit vipi ardhi..halafu kustuka kwangu ni kwa spidi had nakaa kabisa mapigo yanaenda kasi.