Kwa hali hii kisiasa tutegemee reshuffle kubwa zaidi ndani ya miezi michache ijayo na ambapo hata Waziri Mkuu atahusika.
Ni dhahiri bin shairi kuna kutoeleweka kwa Rais kwa Mawaziri wake, ama kwa kuwa hawaelewi sera, kanuni na miongozo ya kazi au Rais Magufuli mwenyewe haeleweki.
Utendaji wa Mawaziri wetu wa kutokujiamini, hofu na unafiki hautawaacha wengi.
Kwa kauli ya Raisi, Waziri mkuu amekuwa ni mtu wa kutumwa kufuatilia utendaji wa shughuli za wizara ambazo kimsingi yeye ndiye kiranja Mkuu wa Wizara hizo.
Alidai kamtuma Mtwara, Kamtuma Bukoba, kamtuma Lushoto nakadhalika.
Aliwahi kushuhudia, aliwahi kufikiri kuwatimua wabunge wote kusini akiwepo Waziri Mkuu kuhusiana na sakata la gawio la korosho ambalo liliachiwa kujadiliwa kizembe Bungeni.
Jana tena katamka akirefer kazi aliyomtuma waziri mkuu Bukoba "...Kwa nini tu nisikuteue kuwa Waziri wa Kilimo?"
Napata mashaka sana kwa kauli kama hizi kama Rais ana furaha sana utendaji wa waziri wake Mkuu!

. Re-shuffle ikawa mbali sana.