Je, Reshuffle ijayo PM Kasim Majaliwa atapona?

Je, Reshuffle ijayo PM Kasim Majaliwa atapona?

Kasimu yuko vizuri sana, ana huruma na ni binadamu sana!, Naamini kuna ishu nyingine kutokana na utu wake hashirikishwi maana kwa hulka yake hatopenda kuzifanya!

Nilimsikiliza mbunge Bungala (almaarufu Bwege) akieleza jinsi Waziri mkuu alivyolia machozi baada ya Mbunge huyo kumpeleka mtu aliyetolewa jicho kwa kipigo cha polisi ofisini kwa waziri mkuu.

Pia Kasimu ameadjust sana, ameimprove sana, amekuwa Statesman zaidi badala yale mambo ya kufokafoka aliyoanza nayo mwanzoni, yale ni mambo ya kizamani!

Mimi nadhani tatizo siyo Kasimu, Tatizo ni Jiwe!
Jiwe ndiye aliyevuruga hata mambo ya msingi aliyoyakuta.

1. Kakuta sekta binafsi inayoanza kutake off, kairudisha nyuma

2. Kakuta sector ya habari kama magazeti, TV etc zikiwa zinakwenda vizuri kazirudisha nyuma

3. Kakuta vibrant democracy, watu wana freedom of speech, sasa hivi ukiwa kijiweni kuongea dhidi ya serikali lazima uangalie nani yupo miongoni mwenu

4. Kakuta kuna harmony nchini, women empowerment, uongozi wa sura ya kitaifa, lakini angalia teuzi zake, anasema wazi kwamba si zamu ya kaskazini. Angalia teuzi zake, Idadi ya Waislamu aliowateua, ni kiduchu mno, watu wanamwangalia tu afanye analoweza, bora aliyepita alijitahidi kadri alivyoweza kuwa na uongozi unaoreflect composition ya Taifa kwa uwakilishi wa makundi yake

5. Operesheni za kuumiza, bomoabomoa etc

Sasa kwa Mazingira kama haya hata uwe na Waziri Mkuu mzuri kiasi gani huwezi kufika popote!

Jiwe ana option mbili tu, ama akubali kubadirika, au apige zake mark time miaka yake miwili au saba iliyobaki kisha aondoke, sisi turudi square one tuanze ku undo aliyoyafanya tuirudishe nchi katika msitari sahihi.

So far tunatumia nguvu nyingi sana kuliko mipango makini!
Natamani angekusoma, umeandika kwa hisia sana!
 
Ku deal a difficult, vulnerable, hot tempered, unstable, unpredictable boss ni kazi kweli kweli. PM is very strong man.
P
If you were the President, with the current status quo "ya utendaji kazi ya WaTz", business as usual, "na kila mtu analaumu au kulalamika", Paskali, what would you do?
 
Mmemshindwa Makonda na vijana wengine sasa mmehamia kwa Majaliwa. Huko msahau kabisa, hawa jamaa wanaendana sana.
 
Najua wewe ndie mwenye uelewa mdogo wa kufikiri. Kama wewe hukusikia kaa kimya tu. Hii kauri kaisema jiwe

Rais hana mamlaka kumtimua pm. Labda amfute uanachama wa ccm hapo atakuwa amepoteza sifa ya kuwa mbunge hivyo hawezi kuwa Pm.
Wale wale wanuka maziwa.
 
Back
Top Bottom