Je, Rais Magufuli hakuwa na ujumbe wowote wa mwaka mpya kulihutubia taifa?

Kwani kuna sheria ya kuhutubia Taifa mwisho wa mwaka.Subirini kesho Rais anaingia Kagera atahutubia Taifa kutokea Ihungo sekondari,ile shule ya mwisho Mbowe kusoma
 
02777b85341d690dc30f81b5de82cb32.jpg
Naona kama vile ni kaazi ya Msigwa hiyo!!
 
Simulizi ni zile zile tu.. Wafanyakazi hewa,tuchape kazi,hakuna cha bure nk..

Unataka kuanza mwaka na mawazo?
Halafu hiyo lugha yao ya kishamba kwamba " HAKUNA CHA BURE " tusipoikemea wataendelea kuibwabwaja , HIVI NI MWAKA GANI SERIKALI YA CCM ILIWAGAWIA WANANCHI VITU VYA BURE ?
 
Wanajamvi wa JF,

Wakati Marais wa Africa Mashariki leo WAMEHUTUBIA wananchi wao kupitia Radio na Televisheni wakigusia mafanikio na changamoto na nini wanataka kutimiza mwaka wa 2017.

Mimi sijamsikia rais Magufuli akiongea nasi leo sijui ni kwa nini.
RWANDA:
Rais Kagame aliongea kuhusu mafanikio yake akiwaambia VIONGOZI kuwa WANANCHI wana HAKI ya kuuliza MASWALI na KUPEWA MAJIBU ipasavyo pasipo KUSUMBULIWA ili wewe kiongozi uwasaidie.

Wananchi ni HAKI yao kupata HUDUMA BORA na hilo wewe kama kiongozi ni lazima UWAJIBIKE.

UGANDA:
Rais Museveni alianza kwa kutoa RAMBIRAMBI kwa wananchi wote wa Uganda waliofiwa na wapendwa wao mwaka uliopita wa 2016.

Akizungumzia nini atafanya mwaka huu wa 2017 alisema nchi inachangamoto ya maji safi.Na mwaka huu ataweka Water schemes/Maji MABWAWA/ VISIMA katika sehemu100 alizozitaja zitakazotoondoa TATIZO la maji na UMWAGILIAJI nchini mwake.

Aligusia kufufuliwa kwa shirika la ndege na kuhakikisha maisha ya wananchi yana BOREKA zaidi. Aligusia Uchumi, Mafuta na KUSHUSHA gharama za UMEME nk.
KENYA:
Rais Kenyatta aliwashukuru wananchi na kuwatakia mwaka mpya wa baraka. Huku akiwaambia WAPINZANI, "Tufanye kazi pamoja bila kugonganisha wananchi.CHAGUZI huja na kwenda taifa hubaki"

Aliwaambia kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi watu waombe kura kwa amani bila mivurugano.
Kuhusu UFISADI aliwaambia wananchi "Mtaanza kuona watu WAKIFUNGWA" hasa kwa sababu JAJI MKUU mpya ana ARI na NIA ya kupambana na UFISADI.

TANZANIA:
2017 Rais Magufuli HAKUTUHUTUBIA ili tumsikilize kama TAIFA ili KUTUPATIA mwelekeo wa mwaka 2017

Hata jamani kutuambia TUFANYE nini ama serikali inafanya nini ili kuzikabili changamoto tulizonazo kama taifa na KUTUPA MATUMAINI tunapoingia mwaka 2017?
Ni nini kinaendelea ama it is NOT that important?
Suluhisho la malalamiko yenu yote ni moja tu nalo ni jina yaani COWBOY

Boss wa umeme katumbuliwa ,,,,suluhisho ni COWBOY
 
Kila Rais anapoingia madarakani huwa ana taratibu zake za kuongoza nchi na isitoshe yuko ziarani Mkoani kagera ambako atahutubia Taifa, sasa ulitaka arudie rudie Hotuba?
 
Mkuu swali lako ni zuri sana.
Unajua inatiaga moyo sana wakati kiongozi analipa taifa MATUMAINI.
Hasa ukiangalia kuwa watu wanalia,
Mara UCHUMI ni mbaya
Mara AJIRA hakuna,
Mara freeze ya PROMOTIONS,
Mara MIKOPO.
Mambo kama haya ni CHANGAMOTO zinazohitaji JIBU na suluhisho na TUMAINI Kisiasa na Kiutawala.
Kama viongozi wote duniani including Papa Francis ametoa na kuwapa matumaini waumini wake sembuse na sisi?
Hii hutolewa kabla ya mwaka haujaingia.
Mkuu unaulizia kwa wrong person! Kumbuka hayo yote wameyacreate wao. Ila kwa Mh usitegemee faraja zaidi ya machungu
 
Halafu hiyo lugha yao ya kishamba kwamba " HAKUNA CHA BURE " tusipoikemea wataendelea kuibwabwaja , HIVI NI MWAKA GANI SERIKALI YA CCM ILIWAGAWIA WANANCHI VITU VYA BURE ?
Hizo ni kauli za kuhalalisha ugumu wa maisha wa baadhi ya watanzania..

Haujazizoea??
 
Back
Top Bottom