Je, Rais Magufuli hakuwa na ujumbe wowote wa mwaka mpya kulihutubia taifa?

Rais alishasema yeye ni mtu tofauti. He will speak at a time of his choosing
Hashindani na Marais wengine.

Pia tumeambiwa Rais atahutubia kule Ihungo. Labda atatoa salamu za mwaka mpya toka huko. Give him time.

No two persons are the same. JPM is running his own race. He is unlike any of his neighbours.
 
Wanajamvi wa JF,

Wakati Marais wa Africa Mashariki leo WAMEHUTUBIA wananchi wao kupitia Radio na Televisheni wakigusia mafanikio na changamoto na nini wanataka kutimiza mwaka wa 2017.

Mimi sijamsikia rais Magufuli akiongea nasi leo sijui ni kwa nini.
RWANDA:
Rais Kagame aliongea kuhusu mafanikio yake akiwaambia VIONGOZI kuwa WANANCHI wana HAKI ya kuuliza MASWALI na KUPEWA MAJIBU ipasavyo pasipo KUSUMBULIWA ili wewe kiongozi uwasaidie.

Wananchi ni HAKI yao kupata HUDUMA BORA na hilo wewe kama kiongozi ni lazima UWAJIBIKE.

UGANDA:
Rais Museveni alianza kwa kutoa RAMBIRAMBI kwa wananchi wote wa Uganda waliofiwa na wapendwa wao mwaka uliopita wa 2016.

Akizungumzia nini atafanya mwaka huu wa 2017 alisema nchi inachangamoto ya maji safi.Na mwaka huu ataweka Water schemes/Maji MABWAWA/ VISIMA katika sehemu100 alizozitaja zitakazotoondoa TATIZO la maji safi nchini mwake.

Aligusia kufufuliwa kwa shirika la ndege na kuhakikisha maisha ya wananchi yana BOREKA zaidi. Aligusia Uchumi, Mafuta na KUSHUSHA gharama za UMEME nk.
KENYA:
Rais Kenyatta aliwashukuru wananchi na kuwatakia mwaka mpya wa baraka. Huku akiwaambia WAPINZANI, "Tufanye kazi pamoja bila kugonganisha wananchi.CHAGUZI huja na kwenda taifa hubaki"

Aliwaambia kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi watu waombe kura kwa amani bila mivurugano.
Kuhusu UFISADI aliwaambia wananchi "Mtaanza kuona watu WAKIFUNGWA" hasa kwa sababu JAJI MKUU mpya ana ARI na NIA ya kupambana na UFISADI.

TANZANIA:
2017 Rais Magufuli HAKUTUHUTUBIA ili tumsililize kama TAIFA ili KUTUPATIA mwelekeo wa mwaka 2017.

Hata jamani kutuambia TUFANYE nini ama serikali inafanya nini ili kuzikabili changamoto tulizonazo kama taifa na KUTUPA MATUMAINI tunapoingia mwaka 2017?
Ni nini kinaendelea ama it is NOT that important?
Atahutubia Bukoba kesho
 
Sio rahisi.
 
02777b85341d690dc30f81b5de82cb32.jpg
Hii inaitwa jibu mujarabu
 
Hotuba zake zenyewe nimeshazichoka maana huwa ni majibu ya Yale yanayosemwa mitandaoni , vitisho, kunanga makosa ya awamu iliyopita na pia kauli zinazokinzana na walio chini yake ......

Jibu kubwa LA hali ya kiuchumi iliopo "WATANZANIA WAFANYE KAZI HAMNA VYA BURE"....

Mimi namtakia kheri kwa
Safari yake lakini natumai ya kuwa anajua wapi analipeleka taifa
Halaf huwa nashangaa,kwani tulishawah kupewa vya Bure?
 
Rais alishasema yeye ni mtu tofauti. He will speak at a time of his choosing
Hashindani na Marais wengine.

Pia tumeambiwa Rais atahutubia kule Ihungo. Labda atatoa salamu za mwaka mpya toka huko. Give him time.

No two persons are the same. JPM is running his own race. He is unlike any of his neighbours.
Hii Kali ya kufungua mwaka
 
Hapo ndipo unapotakiwa uwkewe kua urais si kazi ya kitoto pamoja na uelewa lakini pia uwe na Kipawa zaidi rais wetu huenda hakujia hakujianda na swala hill hawezi kukurupuka kama alivyokurupushwa kupata uongozi uongozi ni kazi bhana Sio masihara
 
  • Thanks
Reactions: nie
Bora hata hajaongea maana angeleta mtafaruku tu kwa kauli zisizo na ukweli
Ungesikia watu wanaolalamika ni wapiga dili na wakati ni wananchi wa hali ya chini hata dili zenyewe hawazijui
 
Msimchokoze acje akaja na tamko la kubana bajeti tuanze kula mlommoja
 
Wanajamvi wa JF,

Wakati Marais wa Africa Mashariki leo WAMEHUTUBIA wananchi wao kupitia Radio na Televisheni wakigusia mafanikio na changamoto na nini wanataka kutimiza mwaka wa 2017.

Mimi sijamsikia rais Magufuli akiongea nasi leo sijui ni kwa nini.
RWANDA:
Rais Kagame aliongea kuhusu mafanikio yake akiwaambia VIONGOZI kuwa WANANCHI wana HAKI ya kuuliza MASWALI na KUPEWA MAJIBU ipasavyo pasipo KUSUMBULIWA ili wewe kiongozi uwasaidie.

Wananchi ni HAKI yao kupata HUDUMA BORA na hilo wewe kama kiongozi ni lazima UWAJIBIKE.

UGANDA:
Rais Museveni alianza kwa kutoa RAMBIRAMBI kwa wananchi wote wa Uganda waliofiwa na wapendwa wao mwaka uliopita wa 2016.

Akizungumzia nini atafanya mwaka huu wa 2017 alisema nchi inachangamoto ya maji safi.Na mwaka huu ataweka Water schemes/Maji MABWAWA/ VISIMA katika sehemu100 alizozitaja zitakazotoondoa TATIZO la maji na UMWAGILIAJI nchini mwake.

Aligusia kufufuliwa kwa shirika la ndege na kuhakikisha maisha ya wananchi yana BOREKA zaidi. Aligusia Uchumi, Mafuta na KUSHUSHA gharama za UMEME nk.
KENYA:
Rais Kenyatta aliwashukuru wananchi na kuwatakia mwaka mpya wa baraka. Huku akiwaambia WAPINZANI, "Tufanye kazi pamoja bila kugonganisha wananchi.CHAGUZI huja na kwenda taifa hubaki"

Aliwaambia kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi watu waombe kura kwa amani bila mivurugano.
Kuhusu UFISADI aliwaambia wananchi "Mtaanza kuona watu WAKIFUNGWA" hasa kwa sababu JAJI MKUU mpya ana ARI na NIA ya kupambana na UFISADI.

TANZANIA:
2017 Rais Magufuli HAKUTUHUTUBIA ili tumsikilize kama TAIFA ili KUTUPATIA mwelekeo wa mwaka 2017

Hata jamani kutuambia TUFANYE nini ama serikali inafanya nini ili kuzikabili changamoto tulizonazo kama taifa na KUTUPA MATUMAINI tunapoingia mwaka 2017?
Ni nini kinaendelea ama it is NOT that important?
Tunawakati mgumu sana chini ya SIZONJE mbaya zaid hajitambui..
Tetemeko limetokea muda mrefu waathirika wameliaawee SIZONJE kimyaa..
Leo kwakuwa yupo kwake kijijini na kwa waathirika ni jirani zake ndo kaona ni aibu kupitiliza hivo anawapitia leo kuwapa pole kiaina.
Lakini hawapi chochote cha kuwafuta machozi zaid atawambia TETEMEKENI WENYEWE TETEMEKO HALIKULETWA NA FISIEMU
 
Back
Top Bottom