Ni ngumu kwa kweli,mimi binafsi ilinikuta wakati nilipoenda kujifungua na yeye kuwa daktari wa zamu na uchungu umenikamata,nashukuru alinitafutia daktari mwingine ,kwani hata mimi mwenyewe sikuwa radhi anizalishe kwa sababu ni mtu aliyekuwa tukitaniana nae sana.