Je Putin ananza kujitanua?

Kuna Putin's kama 50 hivi wako wanaivishwa jikoni kusubiri muda wao ufike waendeleze mema ya Putin the Great.
Hawawezi kuwa kama huyu mwenye roho ya mpinga kristo,adui wa Mungu!
 
trump kwa putin ni mtoto mdogo sana,wao ndio wamemweka madarakani,na wana uwezo wa kumuua wakitaka,,,

No evidence, as a Business man mwenye interest ya kujitanua kibiashara Duniani na Tabia zake za Kupenda Sifa Trump ni easy candidate wa kumuimplicate na conflict of interest issues, lakini mpaka sasa anaendelea kuwaprove wote wrong.

Trump amefocus kwenye kuhakikisha anakuwa mmoja ya Marais Bora kuwahi kutokea Marekani ktk kusimami Maslahi ya Taifa hilo, na actions zake zote however uncommon they are, they are destined to make him one. May God Help Him.
 
Big up mkuu!
 
fafanua zaid mkuu hasa apo hidden agenda ya kuwakuza wachina kijeshi(atakaemkuza mchina ni nan putin au trump) na putin atashangaza dunia kivip?
 
kuwakwaza kivipi aliakuwa china baba yake kwenye jeshi ni urusi

Urusi sio super power kijeshi, They do not have Money, huko kujitanua unakoona anafanya urusi hagharamii yeye analipwa, mataifa machache sana yanaweza kununua mabavu ya urusi.

Urusi angekuwa na hela za kumuwezesha kufinance ambitions zake mwenyewe za nguvu za kijeshi USA ingeipata fresh, unfortunately they are not meant to have money.

China has the money, ni hatari zaidi kwa China kuendelea kuwa na hela, sababu wataweza kurealize ambitions zao kuwa leaders on two fronts, economically na Militarily

Ni kweli, China anaitumia Russia kujikuza kijeshi, ananunua. Trump anawadhibiti wachina kujikuza zaidi kiuchumi, na atafanikiwa sababu anajua Marekani (kwa ujinga wake) ndio kaifikisha hapo China kwa kushindwa kuiguide private sector in the best interest of the USA, akifanikiwa hilo anakuwa ameslow down ambitions zao za kijeshi.

Urusi anatia huruma, angeona USA inavyolalamika leo kwa kuwaendekeza wachina angejiuliza mara mbili mahusiano yake ya kijeshi na China.
 
china na urusi apo kila mtu ana malengo yake wote kwa pamoja wanamuona us kama adui yao so lazima waungane china anataka kuwa na jeshi imara coz uchumi yupi vzr pia urusi anamtumia china ili kukuza uchumi wake maana kijeshi tayari yupo vzr
 
Hayo umeyapata kupitia vyanzo ulaya magharibi au USA?.Kama jibu ni ndio basi pole yako ndugu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
china na urusi apo kila mtu ana malengo yake wote kwa pamoja wanamuona us kama adui yao so lazima waungane china anataka kuwa na jeshi imara coz uchumi yupi vzr pia urusi anamtumia china ili kukuza uchumi wake maana kijeshi tayari yupo vzr

China seeks dominance, He competes both USA & Russia. She wants to be the one and only Super Power.
hayo unayoona kama mahusiano yake na Rusia Kijeshi ni Power acquisition strategy yake, anamfake Mchina Militarily kama alivyokuwa anamfake USA economically, now China regrets Trump has come.
 
Thubutuuuuuuu.Ondoa hiyo ndoto nyevu.
 
trump kwa putin ni mtoto mdogo sana,wao ndio wamemweka madarakani,na wana uwezo wa kumuua wakitaka,,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mtazamo wako hauendani kabisa na wamarekani wengi waliompigia kura Clinton, ukitoa ile college votes ya wachache.Ingia CNN uone mtazamo wa wananchi wa Marekani.
 
Wewe na mimi si wakuihoji Russia.Hatuna akili kubwa kuliko Russia tunajidanganya.Putin anaona mbali sana.Hata siku moja China hawezi kuwa tishio kwa USA wewe.Tishio pekee kwa USA ni Russia.Wamarekani wanalijua hilo kitambo saaana.Wanajaribu siku zote kuidhoofisha Russia kwa vikwazo lakini bado wanashindwa.Hatuijui Russia,lakini USA anaijua Russia vizuri.Anazijua nguvu za Russia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…