Lakin mkuu hakuna mahala panapo onyeshe selikali ya Zambia au China kukanusha tuhuma izo na pia kuwatoa hofu wana nchi.pia China kuchukua port ya sir Lanka,na kenya port ya mombasa na inatosha kuthibisha mchina si mtu mzuri kwa ustawi na maendeleo ya Africa
Uyo mrusi yeye alitufikisha wapi enzi za ujamaa.mbna waliokuwa imperium wapo mbali kiuchimi, kiteknolojis.U are so low my friend
Hujui hta kinachoendelea dunian
Imf na world bank imposing policy ndizo zimetufikisha hpa
We unadhani hyo mikataba walisaini kwa kupenda?
Mkuu mbna kama unazidiwa ilo swali ulitakiwa ulijibu ww.uliye nmbie ni proganda za magharibiUna uthibitisho wowote? Au unapiga porojo tu?
Mkuu mbna kama unazidiwa ilo swali ulitakiwa ulijibu ww.uliye nmbie ni proganda za magharibi
Uyo mrusi yeye alitufikisha wapi enzi za ujamaa.mbna waliokuwa imperium wapo mbali kiuchimi, kiteknolojis.
Nyongeza ya vita alivyopigana Us baada ya ww2Wamemuua nani hebu tuambie!!
Na tukiweka rekodi sawa za mauaji aliyofanya mmarekani
-vita ya Vietnam
-vita ya iraq
-afghanistan
-libya
Mauaji yote waliyofanya still wana kiu na damu
af bdo anatetewa duhNyongeza ya vita alivyopigana Us baada ya ww2
Korea na China 1950-1953(Korean war)
Guatemala 1954
Indonesia 1958
Cuba 1959-1961
Guatemala 1960
Congo 1960
Laos 1964-1973
Vietnam 1961-1973
Cambodia 1969-1970
Guatemala 1967-1969
Grenada 1983
Lebanon 1983,1984
Libya 1986
El salvador 1980s
Nicaragua 1980s
Iran 1987
Panama 1989
Somalia 1993
Sudan 1998
Bosnia 1994-1995
Afghanistan 1998
Yugoslavia 1999
Yemen 2002
Iraq 2003
Afghanistan 2001-2015
Pakistan 2007-2015
Libya 2011-2015
Syria 2014- mpaka sasa hivi
Matikitimaji yapo mengi humu.af bdo anatetewa duh
Kamuulize magufuli atakuambia jinsi russia inavyoisaidia tz. Na juzi kwenye ule mkopo wa siri kuna mkopo umetoka russia.
Nani amekwambia reference yangu ni zitto? Mpaka hapa huoni wewe ndiye JUHA?Wee reference yako kama ni Zitto Kabwe umepotea..!! Mkopo lini wa kitaifa ukawa ni siri? Ujue mnalishwa tu maneno bila kujua ukweli, that is mental hysteria, iweje unasikia habari unajua tu ni kweli, huo ni ujuha..!!
wanakopa kisiri coz walisema hawategemei mikopoWee reference yako kama ni Zitto Kabwe umepotea..!! Mkopo lini wa kitaifa ukawa ni siri? Ujue mnalishwa tu maneno bila kujua ukweli, that is mental hysteria, iweje unasikia habari unajua tu ni kweli, huo ni ujuha..!!
unamaana anakusanya pesa za kutosha kutoka china,na kwa sababu ana jeshi zuri basi akipata pesa mambo yanajipa,kama nimekuelewa vyema.china na urusi apo kila mtu ana malengo yake wote kwa pamoja wanamuona us kama adui yao so lazima waungane china anataka kuwa na jeshi imara coz uchumi yupi vzr pia urusi anamtumia china ili kukuza uchumi wake maana kijeshi tayari yupo vzr
Na kama ni alliens basi hizo hela watakuwa wanazichukua texas.Wanajua alliens watakua wanawaletea hela mkuu.
Changudoa hanaga bwana wa kudumu.Taifa letu ni kuuma na kupuliza. Leo hapa kesho kule.
Jamaa una moyo,upo texas nini?Ntajie izo kampuni? Swala la kusain ni ujinga wa aliye sain kwa sababu hatukushiwa bunduki.acha chuki zisizo na msingi
hujui tabia za wajamaa ?Kwanini wasiwasaidie kiuchumi maana Venezuela ipo hoi kiuchumi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]karibu mkuuJamaa una moyo,upo texas nini?
Masilaha mengi ili wajilinde wasipinduliwe huku raia wao wakipigika kiuchumi na masilaha yenyewe kama midoli tu mbwembwe nyingi ila hamna kitu.hujui tabia za wajamaa ?
wenyewe ni kujaza maS-400 na TU-160 basi maendeleo kwao ni ubabe wa kijeshi tu