Je Putin ananza kujitanua?

Je Putin ananza kujitanua?

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,690
Reaction score
3,382
Katika kile kinachoonekana mazoezi ya pamoja kati ya Venezuela na Russia,Putin amezituma Tu-160 strategic bombers kwa ajili ya kazi hiyo.Madege hayo yaliyokuwa yakifuatiliwa na ndege vita za Norway F-16 yalivuka bahari ya Atlantic yakisafiri umbali wa kilomita 10000 pasipo kufanyiwa refueling na kifanikiwa kutua Caracas Venezuela salama kabisa.Madege hayo yana uwezo wa kubeba vichwa vya nuklia.YANGU MACHO NA MASIKIO.
Screenshot_20181211-144205.jpeg
Screenshot_20181211-144415.jpeg
Screenshot_20181211-144703.jpeg
 
hizo f-16 zilikuwa zinazifalia Tu-160 kama ndege za adui au rafiki ?

kwa na hizo Tu-160 huwa zinaruka bila kuwa na usaidizi wa ndege vita za russia?
 
hizo f-16 zilikuwa zinazifalia Tu-160 kama ndege za adui au rafiki ?

kwa na hizo Tu-160 huwa zinaruka bila kuwa na usaidizi wa ndege vita za russia?
Nahisi Norway alifikiri labda hizo ndege zilikuwa zinaelekea kwake,kwa hiyo akaamua kuzituma F-18 zake kwa ajili ya kuzifuatilia hizo T-160 zilizokuwa zikielekea Venezuela.Akaja kugundua kumbe zilikuwa na safari zake,kwa hiyo akaachana nazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom