Je, Profesa Assad aongezewe ulinzi?

Suluhu ya kudumu ni watu walio wengi kama sio wote kupata elimu ya juu ya kweli.
 
Maskini hana makuu mzee wa watu. Hawa wauaji wanaweza kumpa hata sumu.

 

Kwani umeambiwa au ameshatangaza kuwa Maisha yake yako hatarini? Kuna Watu ni ' Wapumbavu ' hadi mnakera. Hivi mnadhani kama kweli Watu wangemtaka angekuwa anaishi hadi hivi leo? Na kumbukeni Matukio yoyote yale ya ' Kimafia / Kijasusi ' huwa hayafanywi bila ya Kwanza kufanya ' Risk Assessment ' juu ya tukio fulani na likionekana ' Timing ' yake inaweza ikazidisha matatizo zaidi wenye Kazi zao huuchuna huku wakijipanga kwa mbinu zingine za Kumuondoa Mtu taratibu na kwa namna nyingine. Wangapi walikuwa na Ulinzi ' Kabambe ' lakini bado Wenye Kazi zao waliweza Kukamilisha Majukumu yao Kwao na wengine leo wako Mavumbini huku wengine ' Viharusi ' tu vikiwatesa na Afya zao Kuzoroteka? Na mara nyingi Matukio ya Kimafia / Kijasusi huwa yanafanywa na yanatekelezeka kiurahisi pale ambapo ule ' Mvumo ' unakuwa umepungua au umepotea kabisa na Watu hawakumbuki au hawaliongelei tena. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Kuendelea ni lazima kwakuwa ni jukumu lake kuisimamia serikali soma majukumu ya bunge ambayo hayawezi kutekelezwa bila report ya CAG mfano kutunga sheria za rasilimali kumetokana report zake labda bunge liache kufanya kazi wakae nyumban
Nakubaliana nawe kabisa! Na najua kweli bunge ni dhaifu, lakini swali langu, kama Bunge huwa linafanyia kazi reports za CAG kuishauri Serikali, litaendelea vipi na CAG asiyeliamini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote nakuelewa, lakini watafanya kazi vipi watu wasiominiana huku mmoja akiwa na mtazamo kuwa mwenzake ana mdharau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado usalama wa huyu jamaa uko shakani sana
 
Ni sawa, lakini KAMA MTOA ULINZI NDO ADUI YAKO, kuna ulinzi hapo?!
 
awekewe ulinzi wa Mungu tu .
NI KWELI....
BY THE WAY... Najua kwenye kumkagua yeye WANAWEZA wanaweka Yao, kwamba na yeye ana madudu...WASISAHAU KUWA MADUDU YAKE HAYATOI UHALALI WA MADUDU YAO.... MADUDU YAKE HAYATAONYESHA 1.5T IMEENDA WAPI..!! MADUDU YAKE HAYATALETA SAREBZA POLISI...!!! etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…