Ungenukuu basi aliyosema mkuu wakat wa termination wengine siku hizi tuko mbali sana na mediaMkuu akitoa ombi huwa ni Amri! Amesema kuna uchafu kwenye Ofisi ya CAG! Na pengine kuthibitisha uchafu huo akamuondoa Prof.Assad kwa kisingizio cha kustaafu( nimeita kisingizio kwa sababu, lugha iliyotumika haikua ya MTU anayestaafu Bali aliyekuwa terminated).
Rais ameonyesha mfano wa kuondoa "uchafu" kwenye ofisi ya CAG! Then kitakachofuata baada ya "uchafu" Kuondoshwa ni nini? Kuandaa hati ya mashtaka?
Je, Prof Assad ni "uchafu"? Je, watendaji watakaa kimya hawatatii maagizo ya kwenda kumalizia kuondoa " uchafu"? Na kama hakuna "uchafu" Prof anaweza kudai haki ya kuwa na ofisi yenye "uchafu"??
Je, wanaweza kuwafungulia mashtaka hao " wachafu" wengine kisha wakamuacha kumfungulia mashtaka "mchafu" mkubwa ambaye kiongozi wa nchi ameonyesha njia tayari?
Alamsiki....
Chunguza maisha ya polisi wote Tanzania hakuna hata jambo moja atafanikiwa ,akanunua gari itaanguka kila siku,akijenga nyumba kila siku bundi,fisi,yaani hawana baraka hata moja,atakaye jaribu kumfunga kumnyanyasa huyu mfia DINI,a.k.a Musa Assad maisha yake yatakuwa kama ya mbwa aliyezaa.
Mkuu akitoa ombi huwa ni Amri! Amesema kuna uchafu kwenye Ofisi ya CAG! Na pengine kuthibitisha uchafu huo akamuondoa Prof.Assad kwa kisingizio cha kustaafu( nimeita kisingizio kwa sababu, lugha iliyotumika haikua ya MTU anayestaafu Bali aliyekuwa terminated).
Rais ameonyesha mfano wa kuondoa "uchafu" kwenye ofisi ya CAG! Then kitakachofuata baada ya "uchafu" Kuondoshwa ni nini? Kuandaa hati ya mashtaka?
Je, Prof Assad ni "uchafu"? Je, watendaji watakaa kimya hawatatii maagizo ya kwenda kumalizia kuondoa " uchafu"? Na kama hakuna "uchafu" Prof anaweza kudai haki ya kuwa na ofisi yenye "uchafu"??
Je, wanaweza kuwafungulia mashtaka hao " wachafu" wengine kisha wakamuacha kumfungulia mashtaka "mchafu" mkubwa ambaye kiongozi wa nchi ameonyesha njia tayari?
Alamsiki....
Ila kama kuna kosa tumekukosea Ee Mungu tunaomba utusamehe!...yaani km nchi tunapita kwenye waya wa moto sana!
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu huyu Prof Assad!
Bdw!hivi kwann watu wasio wema huwa wanadumu???
Hii sio ramli mkuu.Mkuu akitoa ombi huwa ni Amri! Amesema kuna uchafu kwenye Ofisi ya CAG! Na pengine kuthibitisha uchafu huo akamuondoa Prof.Assad kwa kisingizio cha kustaafu( nimeita kisingizio kwa sababu, lugha iliyotumika haikua ya MTU anayestaafu Bali aliyekuwa terminated).
Rais ameonyesha mfano wa kuondoa "uchafu" kwenye ofisi ya CAG! Then kitakachofuata baada ya "uchafu" Kuondoshwa ni nini? Kuandaa hati ya mashtaka?
Je, Prof Assad ni "uchafu"? Je, watendaji watakaa kimya hawatatii maagizo ya kwenda kumalizia kuondoa " uchafu"? Na kama hakuna "uchafu" Prof anaweza kudai haki ya kuwa na ofisi yenye "uchafu"??
Je, wanaweza kuwafungulia mashtaka hao " wachafu" wengine kisha wakamuacha kumfungulia mashtaka "mchafu" mkubwa ambaye kiongozi wa nchi ameonyesha njia tayari?
Alamsiki....
Duh!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hii sio ramli mkuu.
Ngoja tuone.
Mungu amlinde wasimdhuru. Maana unaweza kukuta kama yule jamaa wa wizara ya fedha likarudi jina tu baada ya kusemekana alijinyonga mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππ yamemrudisha
YapiiAmeonekana?