Je pptp vpn zina madhara yoyote

Je pptp vpn zina madhara yoyote

madhara ya vipi? kiafya au kuharibu machine au usalama wa data. kama sjakuelewa vizuri
 
Nadhani anamaanisha usalama wa mashine na data zake mkuu!! Nionavyo hawa jamaa wa mavpn kukuspy ni kawaida tu

yah wakiamua kukuspy probability ya kupata data zako ni 99.99% sababu kila unachofanya wao wanakipokea kwanza ndio wanaleta kwako
 
Kama hamna kitu chenye privacy unafanya basi ujue hamna shida
Lkn pia ukifanya Pirating yoyote na server zao zikalalamikiwa kufanya Pirating basi account yako watai-terminate
 
Back
Top Bottom