Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Kwa
Nimemkumbuka Akwiline, kumbe polisi wetu wanaweza kusambaratisha maandamano yasiyo na kibali kwa kutumia nguvu kidogo tuu bila kusababisha maafa.

Hii ni kufuatia jinsi maandamano ya jana ubalozi wa Africa Kusini yalivyosambaratishwa.

P
Kwani maandamano ya Jana yalihusisha wapinzani?
Maandamano Huwa yapo tu,ila yenye sura ya kutoendana na watawala basi hapo ndio cha mtemakuni kitaonekana!
Ule Uzi wako utakuwa na uhalali kama watakaoandamana dhamira yao itakuwa iko tofauti na serikali halafu polisi wakatawanya maandamano kwa amani na utulivu.Huwezi toa msaada kwa mtoto wako ambaye ni mlemavu halafu tuseme hongera kwa moyo wako wa kusaidia walemavu!!!
 
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
454a637916def479540d0fc946e0cc85.jpg

Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali tuu nikiuliza, Jee mnajua Jeshi la Polisi linaweza kushitakiwa mahakani kwa kusababisha vifo vya kizembe?. Japo kifo hiki cha malaika huyu kimetokea kwa bahati mbaya bila kukusudiwa, na kwa vile hili sii tukio la kwanza kwa jeshi letu la polisi, nikichukulia mauaji ya Mwanza ya mwaka 1976, Waziri wa mambo ya ndani wa wakati huo, Ali Hassan Mwinyi alijiuzulu right on the spot, sioni mpaka leo, Comred Mwigulu anafanya nini ofisini!.

Japo tumesikia wahusika wote wametiwa ndani kwa uchunguzi, naomba kuwapa angalizo kuwa kwa vile hakuna ushahidi wa picha kama kifo cha Mwangosi, hivyo msishangae wahusika wote wakalindwa, na ikatolewa taarifa, Akwilina amefariki kutokana na risasi iliyofyatuliwa na wasiojulikana, hivyo hakuna uchunguzi wowote, wala mashitaka yoyote, halafu Mwigulu ataendelea tuu na kazi, with clear conscious as if nothing happened, naomba niwafariji wafiwa na wapenda haki wote kuwa, hata kama nothing will be done, there is karma ambayo haina mswalie mtume!. When karma takes its toll, kama tutakuwepo, tutawakumbusha.

Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.

Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waingilie kati, what did they stand to loose?.

Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that na huku waziri bado yuko tuu ofisini!, anasubiri nini?. Kama mahabusu wawili tuu walitoroka Ukonga maximum prison na waziri akajiuzulu, ameuliwa Mwangosi, hakuna aliyewajibika, sasa Akwiline, its the same, hivi mpaka wafe watu wangapi ndipo dhana ya uwajibikaji itawaingia viongozi hawa wetu wa leo?. Kiukweli nimemkumbuka Mwalimu Nyerere!.

Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki, japo mimi ni mwandishi wa habari tuu ila nimesomea sheria, kazi ya uandishi naifanya kwa mapenzi tuu, lakini sasa naanza kujitafakari upya, kwa kupima nitakuwa na msaada gani kwa jamii nikilinganisha kuendelea na uandishi au kuingia kwenye sheria kuielimisha jamii haki zao?.

Serikali yetu lazima itoe taarifa rasmi kulaani mauaji haya, na ikibidi kugharimia mazishi, na kutoa pole nene ya ubani, kuwafariji wafiwa na kuwapooza, ili wasiende mahakamani!. Kifo cha Imran Kombe, mjane aliishitaki Serikali mahakamani na kulipwa kifuta machozi cha shilling milioni 300!.

Kama hizi ndizo gharama za demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu chama fulani ashinde uchaguzi!, bora tufute kabisa hivi vyama vingi, turudi kwenye mfomo wa chama kimoja, CCM iachwe itawale peke yake!. Lakini yote haya Mungu yupo na haya anayaona!.

Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa kozi ya Procurement $ Logistics Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Aqulina Akwilini Baftaha, baada ya kufariki kwa dunia kwa kupigwa risasi iliyompata akiwa ndani ya basi la dala dala lililopita eneo la tukio.

Paskali
Mkuu sijakupata vizuri unamaanisha hapa Tanzania kuna Extrajudicial killings? Kama jambazj ana bunduki au pistol anaweza kutishia ! Kama anaenda na bundukineneo la tukio unaweza kufahamu vipi kama ipo loaded au la? Mimi nafikiri Mh rais alikuwa anaongelea wale majambazi wanaoenda na siraha kupora wananchi. Hao hata nchi kama US lazima wapekekewe moto.
Ila kama kuna extrajudicial killings hilo ni tatizo. Maana kama ulivyosema amri ya Commander in chief inaweza kutumiwa vibaya. Mathalani mtu ana chuki na wewe alafu anakuja kuweka bunduki barazani kwako alafu ukikamatwa uchapwe machine!
 
Duh...!. Huyu binti ameuliwa na watu wengine, halafu watu wengine ndio wanashitakiwa na kuhukumiwa!.

All and all, haki kamwe huwa haipotei, aliyemuua Aquiline kama bado hajafidia, ni lazima tuu atafidia, karma haina mswalie Mtume.

Na waliohukumiwa kwa dhulma na uonevu kwa kosa ambalo hawakulifanya, watafidiwa!.

Tanzania we have a long way to go hadi haki ya kiukweli kweli itendeke na kuonekana imetendeka!.

Justice must not only be done, but must also be seen to be done.

P
 
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
454a637916def479540d0fc946e0cc85.jpg

Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali tuu nikiuliza, Jee mnajua Jeshi la Polisi linaweza kushitakiwa mahakamani kwa kusababisha vifo vya kizembe?. Japo kifo hiki cha malaika huyu kimetokea kwa bahati mbaya bila kukusudiwa, na kwa vile hili sii tukio la kwanza kwa jeshi letu la polisi, nikichukulia mauaji ya Mwanza ya mwaka 1976, Waziri wa mambo ya ndani wa wakati huo, Ali Hassan Mwinyi alijiuzulu right on the spot, sioni mpaka leo, Comred Mwigulu anafanya nini ofisini!.

Japo tumesikia wahusika wote wametiwa ndani kwa uchunguzi, naomba kuwapa angalizo kuwa kwa vile hakuna ushahidi wa picha kama kifo cha Mwangosi, hivyo msishangae wahusika wote wakalindwa, na ikatolewa taarifa, Akwilina amefariki kutokana na risasi iliyofyatuliwa na wasiojulikana, hivyo hakuna uchunguzi wowote, wala mashitaka yoyote, halafu Mwigulu ataendelea tuu na kazi, with clear conscious as if nothing happened, naomba niwafariji wafiwa na wapenda haki wote kuwa, hata kama nothing will be done, there is karma ambayo haina mswalie mtume!. When karma takes its toll, kama tutakuwepo, tutawakumbusha.

Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.

Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waingilie kati, what did they stand to loose?.

Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that na huku waziri bado yuko tuu ofisini!, anasubiri nini?. Kama mahabusu wawili tuu walitoroka Ukonga maximum prison na waziri akajiuzulu, ameuliwa Mwangosi, hakuna aliyewajibika, sasa Akwiline, its the same, hivi mpaka wafe watu wangapi ndipo dhana ya uwajibikaji itawaingia viongozi hawa wetu wa leo?. Kiukweli nimemkumbuka Mwalimu Nyerere!.

Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki, japo mimi ni mwandishi wa habari tuu ila nimesomea sheria, kazi ya uandishi naifanya kwa mapenzi tuu, lakini sasa naanza kujitafakari upya, kwa kupima nitakuwa na msaada gani kwa jamii nikilinganisha kuendelea na uandishi au kuingia kwenye sheria kuielimisha jamii haki zao?.

Serikali yetu lazima itoe taarifa rasmi kulaani mauaji haya, na ikibidi kugharimia mazishi, na kutoa pole nene ya ubani, kuwafariji wafiwa na kuwapooza, ili wasiende mahakamani!. Kifo cha Imran Kombe, mjane aliishitaki Serikali mahakamani na kulipwa kifuta machozi cha shilling milioni 300!.

Kama hizi ndizo gharama za demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu chama fulani ashinde uchaguzi!, bora tufute kabisa hivi vyama vingi, turudi kwenye mfomo wa chama kimoja, CCM iachwe itawale peke yake!. Lakini yote haya Mungu yupo na haya anayaona!.

Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa kozi ya Procurement $ Logistics Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Aqulina Akwilini Baftaha, baada ya kufariki kwa dunia kwa kupigwa risasi iliyompata akiwa ndani ya basi la dala dala lililopita eneo la tukio.

Paskali
Sio jeshi hili linaloongozwa na CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasheria wa Tanzania, watetezi wa haki za binaadamu, makanisa na misikiti na wengineo ni wa hivyo kwa kushindwa wakati ile kuisaidia familia ya Akwilina familia iliyoonekana wazi masikini iweze kufungua kesi ya madai dhidi ya polisi na serikali, badala yake tulishangilia familia ikidanganywa kwa kuwekewa kabomba kamaji nyumbani pao! Na mtu binafsi mkuu wa mkoa akiahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina! Malipo ya bomba la maji kwa uhai wa mtu! Sisi ni watu wa hovyo kabisa.
 
Duh...!. Huyu binti ameuliwa na watu wengine, halafu watu wengine ndio wanashitakiwa na kuhukumiwa!.

All and all, haki huwa kamwe haipotei, aliyemuua Aquiline kama bado hajafidia, ni lazima tuu atafidia, karma haina mswalie Mtume.

Na waliohukumiwa kwa dhulma na uonevu kwa kosa ambalo hawakulifanya, watafidiwa!.

Tanzania we have a long way to go hadi haki ya kiukweli kweli itendeke na kuonekana imetendeka!.

Justice must not only be done, but must also seen to be done.

P
Umeandika vyema sana, Mungu akubariki
 
Kwa hapa umeandika kama mtu vile!

Anyway.. Mungu akubariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...!. Huyu binti ameuliwa na watu wengine, halafu watu wengine ndio wanashitakiwa na kuhukumiwa!.

All and all, haki huwa kamwe haipotei, aliyemuua Aquiline kama bado hajafidia, ni lazima tuu atafidia, karma haina mswalie Mtume.

Na waliohukumiwa kwa dhulma na uonevu kwa kosa ambalo hawakulifanya, watafidiwa!.

Tanzania we have a long way to go hadi haki ya kiukweli kweli itendeke na kuonekana imetendeka!.

Justice must not only be done, but must also seen to be done.

P
Waliomuuwa akwilini hawana tofauti Na waliowafungulia magaidi geti area D wote laana inatembea nao
 
Duh...!. Huyu binti ameuliwa na watu wengine, halafu watu wengine ndio wanashitakiwa na kuhukumiwa!.

All and all, haki huwa kamwe haipotei, aliyemuua Aquiline kama bado hajafidia, ni lazima tuu atafidia, karma haina mswalie Mtume.

Na waliohukumiwa kwa dhulma na uonevu kwa kosa ambalo hawakulifanya, watafidiwa!.

Tanzania we have a long way to go hadi haki ya kiukweli kweli itendeke na kuonekana imetendeka!.

Justice must not only be done, but must also seen to be done.

P
Naunga mkono hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasheria wa Tanzania, watetezi wa haki za binaadamu, makanisa na misikiti na wengineo ni wa hivyo kwa kushindwa wakati ile kuisaidia familia ya Akwilina familia iliyoonekana wazi masikini iweze kufungua kesi ya madai dhidi ya polisi na serikali, badala yake tulishangilia familia ikidanganywa kwa kuwekewa kabomba kamaji nyumbani pao! Na mtu binafsi mkuu wa mkoa akiahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina! Malipo ya bomba la maji kwa uhai wa mtu! Sisi ni watu wa hovyo kabisa.
It's true, watetezi wa haki za binaadam hawajamtendea haki huyu binti na sii yeye tuu pekee, Watanzania wengi wanakosa haki zao kwa kutendewa visivyo na serikali na hakuna wanasheria wa kuwapigania.

Bahati mbaya hawa tunaodhani ni watetezi wa haki za binaadamu wao wamegeuza ni ajira tu ndiyo sababu hatuwaoni wala hatuwasikii, pia bahati mbaya sisi wananchi tumeshindwa kuchukua hatua ya kuzifunga ofisi zao.
Probably the most dormant HRDC in the world.
 
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
454a637916def479540d0fc946e0cc85.jpg

Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali tuu nikiuliza, Jee mnajua Jeshi la Polisi linaweza kushitakiwa mahakamani kwa kusababisha vifo vya kizembe?. Japo kifo hiki cha malaika huyu kimetokea kwa bahati mbaya bila kukusudiwa, na kwa vile hili sii tukio la kwanza kwa jeshi letu la polisi, nikichukulia mauaji ya Mwanza ya mwaka 1976, Waziri wa mambo ya ndani wa wakati huo, Ali Hassan Mwinyi alijiuzulu right on the spot, sioni mpaka leo, Comred Mwigulu anafanya nini ofisini!.

Japo tumesikia wahusika wote wametiwa ndani kwa uchunguzi, naomba kuwapa angalizo kuwa kwa vile hakuna ushahidi wa picha kama kifo cha Mwangosi, hivyo msishangae wahusika wote wakalindwa, na ikatolewa taarifa, Akwilina amefariki kutokana na risasi iliyofyatuliwa na wasiojulikana, hivyo hakuna uchunguzi wowote, wala mashitaka yoyote, halafu Mwigulu ataendelea tuu na kazi, with clear conscious as if nothing happened, naomba niwafariji wafiwa na wapenda haki wote kuwa, hata kama nothing will be done, there is karma ambayo haina mswalie mtume!. When karma takes its toll, kama tutakuwepo, tutawakumbusha.

Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.

Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waingilie kati, what did they stand to loose?.

Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that na huku waziri bado yuko tuu ofisini!, anasubiri nini?. Kama mahabusu wawili tuu walitoroka Ukonga maximum prison na waziri akajiuzulu, ameuliwa Mwangosi, hakuna aliyewajibika, sasa Akwiline, its the same, hivi mpaka wafe watu wangapi ndipo dhana ya uwajibikaji itawaingia viongozi hawa wetu wa leo?. Kiukweli nimemkumbuka Mwalimu Nyerere!.

Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki, japo mimi ni mwandishi wa habari tuu ila nimesomea sheria, kazi ya uandishi naifanya kwa mapenzi tuu, lakini sasa naanza kujitafakari upya, kwa kupima nitakuwa na msaada gani kwa jamii nikilinganisha kuendelea na uandishi au kuingia kwenye sheria kuielimisha jamii haki zao?.

Serikali yetu lazima itoe taarifa rasmi kulaani mauaji haya, na ikibidi kugharimia mazishi, na kutoa pole nene ya ubani, kuwafariji wafiwa na kuwapooza, ili wasiende mahakamani!. Kifo cha Imran Kombe, mjane aliishitaki Serikali mahakamani na kulipwa kifuta machozi cha shilling milioni 300!.

Kama hizi ndizo gharama za demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu chama fulani ashinde uchaguzi!, bora tufute kabisa hivi vyama vingi, turudi kwenye mfomo wa chama kimoja, CCM iachwe itawale peke yake!. Lakini yote haya Mungu yupo na haya anayaona!.

Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa kozi ya Procurement $ Logistics Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Aqulina Akwilini Baftaha, baada ya kufariki kwa dunia kwa kupigwa risasi iliyompata akiwa ndani ya basi la dala dala lililopita eneo la tukio.

Paskali
Maandamano ya CHADEMA: Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika
images%20(4).jpeg

Asante mzee P kwa makala hii.

Circumstantial evidence police are answerable katika umati ule watu wangapi walikuwa na bunduki? Marehemu aliuwawa na nini? Je muuaji alikusudia au uzembe au bahati mbaya why until now no body is accept ing responsibility ... Inasikitisha sana siasa za wengine wafe wasio kuwa hata na habari nayo... Kisa ?? Mwanasiasa atakuambia ndio price ya democracy ... It is not fair rest in peace Akwilina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom