Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,104
- 26,070
Kwa
Maandamano Huwa yapo tu,ila yenye sura ya kutoendana na watawala basi hapo ndio cha mtemakuni kitaonekana!
Ule Uzi wako utakuwa na uhalali kama watakaoandamana dhamira yao itakuwa iko tofauti na serikali halafu polisi wakatawanya maandamano kwa amani na utulivu.Huwezi toa msaada kwa mtoto wako ambaye ni mlemavu halafu tuseme hongera kwa moyo wako wa kusaidia walemavu!!!
Kwani maandamano ya Jana yalihusisha wapinzani?Nimemkumbuka Akwiline, kumbe polisi wetu wanaweza kusambaratisha maandamano yasiyo na kibali kwa kutumia nguvu kidogo tuu bila kusababisha maafa.
Hii ni kufuatia jinsi maandamano ya jana ubalozi wa Africa Kusini yalivyosambaratishwa.
P