GE2025 Je, Polisi Wanajihami na kile walichokifanya?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Piere. Fm

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,261
Reaction score
1,253
Jamaa Leo wamewasha mtandao lakini pia zimeanza kutiririka meseji kutoka jeshi la Polisi la kuwaasa watu kuepuka kutuma picha au video mtandaoni zenye kuweza kuzua taharuki.

Je, hii si ishara kuwa wanawatisha kisionekane kile Walichokifanya dhidi ya watanzania?

 
Wanafikiri hawa vijana wataogopa tena?
Wakichobaki wanajifariji nacho ni propaganda kuwa waandamanaji wametoka nje ya nchi..
Na kama ni hvyo basi idara zetu ya uslama na uhamiaji zimeoza haiwezekani wageni wote hao waingie nchini na wasambae Dar, Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma, Tarime, Makambako na kwingineko na wao jushindwa kuwadhibiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…