Je polisi wana kinga ya kukamatwa wakituhumiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je polisi wana kinga ya kukamatwa wakituhumiwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mwanamapinduko, Jul 15, 2012.

 1. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu naomba kuuliza huyu ACP H. Msangi ametuhumiwa kuhusika na kutekwa na kuteswa Dr Ulimboka kwanini hakamatwi? Je kuna sheria inayomlinda?
   
 2. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ipo! hukamatwi kama tu, umetumwa na wakubwa
   
 3. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Polisi wanaweza kukamatwa kama kuna haja ya kufanya hivyo, umesahau akina Zombe ua Ma Colonel wa SUMA JKT
   
 4. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  atakamatwa we ngoja arudi Dr ULI
   
Loading...