njang'et JF-Expert Member Joined Dec 30, 2014 Posts 758 Reaction score 228 Jul 22, 2015 #81 kilght said: polisi hana mamlaka hiyo mkuu hii ni ichi yenye kutii sheria na taratibu sasa kama tutauana kiivo sijui Click to expand... Naaomba siku moja auliwe mwanao, mkeo, baba yako na mama yako alafu muuaji akamatwe umtetee kama unavyowatetea hao ndgu zako waliopiga stakishari
kilght said: polisi hana mamlaka hiyo mkuu hii ni ichi yenye kutii sheria na taratibu sasa kama tutauana kiivo sijui Click to expand... Naaomba siku moja auliwe mwanao, mkeo, baba yako na mama yako alafu muuaji akamatwe umtetee kama unavyowatetea hao ndgu zako waliopiga stakishari
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,387 Reaction score 6,481 Jul 22, 2015 #82 OLESAIDIMU said: 1. Hivi mtu aliyebeba silaha kwa nia ovu unajiridhisha vipi kuwa huyu tayari ka sarenda na hii sarenda yeke sio mtego???!!! 2. Kuna vitu vingine ni kama sumu "utaijua" wakati au imekudhuru wewe au mwingine. . . . . . . Click to expand... Siwatetei wahalifu, hapana. Ila nasema tufuate kama tulivyofundishwa namna ya kumkamata mhalifu- kama kuna uwezekano wa kufanya hivyo
OLESAIDIMU said: 1. Hivi mtu aliyebeba silaha kwa nia ovu unajiridhisha vipi kuwa huyu tayari ka sarenda na hii sarenda yeke sio mtego???!!! 2. Kuna vitu vingine ni kama sumu "utaijua" wakati au imekudhuru wewe au mwingine. . . . . . . Click to expand... Siwatetei wahalifu, hapana. Ila nasema tufuate kama tulivyofundishwa namna ya kumkamata mhalifu- kama kuna uwezekano wa kufanya hivyo
Cha Moto JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 945 Reaction score 154 Jul 22, 2015 #83 CHUAKACHARA said: Siwatetei wahalifu, hapana. Ila nasema tufuate kama tulivyofundishwa namna ya kumkamata mhalifu- kama kuna uwezekano wa kufanya hivyo Click to expand... kama hakuna uwezekano unafanyaje? unamuacha aende zake?
CHUAKACHARA said: Siwatetei wahalifu, hapana. Ila nasema tufuate kama tulivyofundishwa namna ya kumkamata mhalifu- kama kuna uwezekano wa kufanya hivyo Click to expand... kama hakuna uwezekano unafanyaje? unamuacha aende zake?
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,387 Reaction score 6,481 Jul 22, 2015 #84 Cha Moto said: kama hakuna uwezekano unafanyaje? unamuacha aende zake? Click to expand... Unamuua!
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,646 Reaction score 9,622 Apr 14, 2017 #85 Sijui