OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
1. Hivi mtu aliyebeba silaha kwa nia ovu unajiridhisha vipi kuwa huyu tayari ka sarenda na hii sarenda yeke sio mtego???!!!Rutashobolwa, what does the law say? Ukikutana na jambazi even if he surrenders, should you kill him? Nijibu? Rule of law should operate always!
kwani silaha wanazopewa askari nizakuwindia nguchiro?
acheni ushabiki maana bila polisi nchi isinge kalika...
hawa jamaa waacheni wafanye kazi zao
hili ndio tatizo la kuishi nchi masikini iliyojaa wajinga wengi. mharifu ana haki ya kuhukumiwa mahakamani na sio mikononi mwa polisi. na tanzania ukiuwawa na polisi alaf polisi wakisema alikua jambazi au gaidi wanajua wazi wananchi ni wapumba.vu hawata fuatilia. pamoja na mauaji ya wale wafanyabiashara wakati wa zombe bado watu hawajifunzi kua polisi hawako perfect hivyo wanaweza kuua watu kinakosa. siku wakiuwa ndugu zenu ndipo mtajifunza.
asante mkuu, mpe shule kidogo mtoa mada kwann askari anapewa silaha, mazingira yapi atumie namna gani.
Hivi kukishakuwa na sintofahamu na kurushiana risasi za moto "mazingira" gani tena yanazungumziwa hapo??!!!
hicho ni kitu ambacho mtoa mada haelewi..anafikiri labda polisi waliwakuta wale majambazi kibarazani wanapiga story..haelewi kama kulikuwa na sintofaham
Naona tangu jana hakuna hata anayelaani mauaji ya walioitwa majambazi jana si raia wala si media wala si viongozi wa kisiasa na dini.
Polisi hana mamlaka wala reseni ya kutoa uhai wa mtu.
Pia tuseme tu kuwa inaonekana walifanya makusudi kulipiza kisasi na visasi haviishi.
watz bana tatizo kweli serikalin kuna mijambaz koma lkn inalindwa na polisi lkn hao vibaka tu ambao hata hatuna uhakika kama kweli walikuwa majambaz wanauwawa kirahisi

Huyu aliyeandika hii thread akifatiliwa vizuri, tunaweza kupata hata silaha zilizosalia. Anahusika tu huyu kwa vyovyote na mauaji ya polisi na uporaji silaha.
Aliyekudanganya polisi hana sababu ya kuua mwambie hakupendi. . . . .na kama unataka kufa kirahisi kabisa tafuta silaha kafanye mchezo na polisi