likengengema
Member
- Mar 10, 2015
- 39
- 5
acha bwebwe afu futa kauli polisi kazi yake ni kulinda raia na mali zake sio kuua na kupora
Mahakamani kuna armoury??!!! Kuna mtu anajifunza target kule??!! Kuna mtu wa muzzle velocity??!!
Unajua bullet proof vest ina uzito na joto kiasi gani??!!! Wanaume wanashinda nazo hizo miilini nyie mmevaa body tights mnaenjoy tu. . . . .
Jambazi wa silaha yake chuma tu. . . . Haina mjadala
polisi hana mamlaka hiyo mkuu hii ni ichi yenye kutii sheria na taratibu sasa kama tutauana kiivo sijui
Naona tangu jana hakuna hata anayelaani mauaji ya walioitwa majambazi jana si raia wala si media wala si viongozi wa kisiasa na dini.
Polisi hana mamlaka wala reseni ya kutoa uhai wa mtu.
Pia tuseme tu kuwa inaonekana walifanya makusudi kulipiza kisasi na visasi haviishi.

Nakubaliana na wewe na ndio maana huwezi kusikiliza kesi inayokuhusu. Hutakuwa neutral. Ndio maana kesi hiyo anapewa mtu mwingine! Hivyo hivyo, polisi wasifanye hivyo, hawajafundishwa hivyo. Tukiruhusu hivyo, watatuua wengi kwa dhana tu!
Kuwa objective! hata kama ni gaidi wa kutupwa, as long as amesurrender, huna ruhusu ya kumuua. Sawa walivamia kituo na kuua, lakini walipokwenda kuwakamata wakanyanyua mikono juu! Why kill them? Polisi imekuwa mahakama kutoa hukumu?
Nakubaliana na wewe na ndio maana huwezi kusikiliza kesi inayokuhusu. Hutakuwa neutral. Ndio maana kesi hiyo anapewa mtu mwingine! Hivyo hivyo, polisi wasifanye hivyo, hawajafundishwa hivyo. Tukiruhusu hivyo, watatuua wengi kwa dhana tu!
acha bwebwe afu futa kauli polisi kazi yake ni kulinda raia na mali zake sio kuua na kupora
kila idara iachiwe kazi yake ifanye hapo tutafika lkn kwa.mwendo huu hakuna kitu
natetea raia sio majambaz wew sio hakimu hadi useme hivo
Hivi majambazi kuuwa polisi ni sawa? Hivi unajua hao unao walilia waliuwawa kwenye mazingira gani? Hivi unajua walio uwawa walikuwa wana pambana na askari tena kwa silaha? Hivi umeshindwa kujiuliza kwanini wengine hawakuuwawa kama hao?
Hivi mtu anaye rusha risasi unataka na yeye arushiwe karanga? Hivi ungekuwa polisi mtu anaye kurushia risasi wewe unge fanya nini?
Hata kama ni ndugu yako wacha atandikwe risasi kama kaamua kuingia kwenye vikundi vya uhalifu hayo ndio matunda yake!
Mnacho takiwa kufanya ni kukaa na ndugu au wadogo zenu kuwaeleza wazi kuwa uhalifu haulipi watakufa tena kwa kutandikwa risasi maana hawatovumiliwa watu wanao hatarisha amani za raia wema!
Mimi nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kuwadhibiti hawa na kuwauwa maana bila hivyo wange wauwa wao..!
Hivyo tukae na ndugu zetu tuwambie kuwa ujambazi haulipi watakufa Kabisa na watamalizwa!
Ukiona nduguyo anajiingiza kwenye ujambazi ujue umeshindwa kutimiza wajibu wako anza kulia kabisa maana hatovumiliwa atauliwa tuu...!
Hongera sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri!
Naona tangu jana hakuna hata anayelaani mauaji ya walioitwa majambazi jana si raia wala si media wala si viongozi wa kisiasa na dini.
Polisi hana mamlaka wala reseni ya kutoa uhai wa mtu.
Pia tuseme tu kuwa inaonekana walifanya makusudi kulipiza kisasi na visasi haviishi.
acha ulimbukeni we nyang'au unatetea raia wapi hao, inaonekana na wewe ni muhusika na imekuuma sana mbona polisi akiuawa hatuoni mkilizungumzia hilo. na unatetea kama nani? unajua sheria wewe unaelewa namna tukio lilivyokuwa? ma tacore eti oooohhh acha shobo wewe.natetea raia sio majambaz wew sio hakimu hadi useme hivo