Je, petrol imeadimika soko la dunia?

Je, petrol imeadimika soko la dunia?

Dollar zimeadimika duniani kwa sababu The Fed wamepandisha interest rate. Nadhani unajua madhara ya kupanda kwa interest rate ya dollar.
Pili, bidhaa kubwa itakayoathiriwa ni mafuta kwa sababu ndiyo yanayo kula dollars nyingi hasa kwa nchi kama Tanzania.
Tatu, ambalo ni la muhimu ili uondoe fikra ulizo nazo, Tanzanian Shilling kwa kipindi cha mwaka uliopita ndiyo iliyoonyesha more stability kuliko currency yeyote kwa nchi za Africka mashariki na kati. Ikionyesha kuwa central bank ya Tanzania ndiyo angalau imechukua hatua bora zaidi, zenye matokeo chanya zaidi.
Shilingi ya Kenya sasa ni sawa na shilingi 17 za tanzania badala ya shilingi 21 za kitanzania., karibu ongezeko la thamani kwa 20%.
Acha kutetea UJINGA. Tabora na kilindi hakuna petroli, tunataka petroli sio blah blah za rushwa.
 
Acha kutetea UJINGA. Tabora na kilindi hakuna petroli, tunataka petroli sio blah blah za rushwa.
Usipende kujiaminisha vitu visivyo vya kweli, kwa sababu tabia hiyo huzaa ujinga.
 
J forum wote wapo Dar, ingekua Dar petrol wanauziwa lita elfu 8 kwenye makopo ya maji ungeona kivumbi, halafu hapo ukienda kituo cha mafuta unaambiwa hayapo. Siku yakiwepo kwa sisi bodaboda mwisho ya buku 3

Wilaya ina
DC
DAS
DED
DSO nk ila hali ndio iko hivo
 
Naona uzi wa jamaa umefutwa unaohusu baadi ya maeneo nchini vituo vya mafuta kukosa mafuta hasa petrol.

Sasa nakazia, na huu uzi mods waufute tu kwa sababu hali halisi ndivyo ilivyo.

Baadhi ya maeneo nchini hasa wilayani huku mafuta hayapatikani hasa petrol.

Je, tatizo ni nini?

Mbona serikali haitolei ufafanuzi juu ya hili wakati wawakilishi wa serikali kila wilaya wapo ( Wakuu wa Wilaya)?

Kwani huko Dar petrol ipo?

Huku mikoani hasa wilayani hakuna petrol, na kama ipo inauzwa kwa maringo katika vituo vya mafuta. Ukweli ndio huo!
Petrol tele urusi huu ndio muda wa Marekani kuwa umiza watu
 
Usipende kujiaminisha vitu visivyo vya kweli, kwa sababu tabia hiyo huzaa ujinga.
Sisi watu wa chini hatutaki kujua Mambo yenu ya Dola au euro. Tunataka mafuta watoto wetu wafanye biashara za bodaboda, tulime, tunyweshee mazao kupitia mafuta na tupeleke mazao yetu sokoni kupitia mafuta. Kama mmeshindwa ku avail mafuta kwa sisi wananchi wa chini, achieni ngazi ili wanaoweza kuleta mafuta kwa Bei tunayoimudu waingie madarakani. Otherwise hatutasikia blah blah wakati mnashindwa kutekeleza wajibu wenu.
Mbona Rwanda land locked country hakuna shida ya mafuta?
Tatizo lenu hamjajipanga mnakurupuka.
 
J forum wote wapo Dar, ingekua Dar petrol wanauziwa lita elfu 8 kwenye makopo ya maji ungeona kivumbi, halafu hapo ukienda kituo cha mafuta unaambiwa hayapo. Siku yakiwepo kwa sisi bodaboda mwisho ya buku 3

Wilaya ina
DC
DAS
DED
DSO nk ila hali ndio iko hivo
Haya mambo ukiadithiwa unaweza ukaona ni chai, petrol lita 8000?
 
Petrol tele urusi huu ndio muda wa Marekani kuwa umiza watu
Kwan tatizo ni marekani au ni nyie hamna pesa za kigeni kununua!?
NB : hebu twambie vibanda umiza mnasema ni marekani!! Poor you!
 
Back
Top Bottom