Je,Pete ya ndoa,....?Kwa walio oa na kuolewa.

hao kina dada wanafurahi kwa sababu wanajua watakuwa wanachuna kwa kwenda mbele ..unatoka kwa wife umeshafuliwa ,nyooshewa na mahitaji yote ambayo anatakiwa mwanamke akufanyie
ukifika kwa kadada kenyewe kana kazi moja na mshiko wako

teh teh teh

hiyo ndiyo ilinifanya pesa yangu iwe yangu yake yetu.
 
Nani alikudangaya mazee? Hizo pete kwani zinatoka mbinguni? Hapo Kariakoo zinauzwa kama njugu. Mabaamedi na machangudoa wa kumwaga wanazivaa wakati hawajaolewa. Jidanganyeni tu na heshima za pete. The real heshima ya ndoa iko moyoni bana!

Chriss mambo,yaani hapo umeongea kabisa,wangapi tunawaona wamevaa na ni vipanga wa hatari,wanawake wangapi wamezivaa na wanasaliti ndoa zao?

Nimeipenda hiyi niliyohighlight na red color.
 
hao kina dada wanafurahi kwa sababu wanajua watakuwa wanachuna kwa kwenda mbele ..unatoka kwa wife umeshafuliwa ,nyooshewa na mahitaji yote ambayo anatakiwa mwanamke akufanyie
ukifika kwa kadada kenyewe kana kazi moja na mshiko wako

teh teh teh

Kaazi kweli kweli!!
 
Chriss mambo,yaani hapo umeongea kabisa,wangapi tunawaona wamevaa na ni vipanga wa hatari,wanawake wangapi wamezivaa na wanasaliti ndoa zao?

Nimeipenda hiyi niliyohighlight na red color.

Poa mamii wangu. Hajambo mlala pembeni yako? Siku nyingine nikiamua huwa namimina mapointi mpaka mnanikubali. Namsubiri MJ1 na Ziondaughter wanigongee thanks zao, leo wamenibania kweli.
 
Bado hajaanza kulala pembeni yangu mpaka taratibu zote zifuatwe,ila ni mzima kabisa alini-call asubuhi,usijali watakugongea tu hizo thanks.
 
Hizo pete siku hizi watu wanajivalia tu, maana wanajua mtu ukiwa kwenye ndio ni heshima hata kutongozwa na watu, so wanavaa ili watongozwe, zimepoteza maana siku hizi
 
pate haina nguvu siku hizi inabidi kuwa na mikakati mingineyo kuwaweka mbali wanyemeleaji ila bora kuvaa tu, usipovaa wale wanaojua umeoa/umeolewa na wako interested wanaweza kutafsiri kama upo "available"
 
na kama mwanaume Kiwembe ni kiwembe tu ...
Siku hizi kuna watu wanaangalia vidoleni tuu,wakikuta pete lazima utongozwe,hii inasababishwa na watu kuchoka usumbufu,wakiwa na imani kuwa wakimfuata mtu aliye kwenye ndoa,hatopata usumbufu wa kufuatiliwa wala mizinga ya kijinga jinga,hapo ni penzi tuu!!
 
Pete siku hizi ni wizi mtupu nimesikia sana wahudumu wa maguest wanasema iwa zinasahaulika sana kwenye mijengo hiyo
 
Lol! Mpwa karibu. Umepotea siku mbili hizi. Haya nambie hao wahudumu unachonga nao saa ngapi mpaka wanakupa hizo ishu? Mi najua wale huwa wanatusaidia sana pale tunaposubiri videti vyetu halafu visitokee.
 
Hehehehe dah mpwa mgao wa umeme unanitesa sana nimeamua kubeba laptop na kwenda zangu kwa hotel ndo nakula vitu saizi hivi hawa jamaa wanatusesa sana. Hawa mkuu iwa nawapitia pitia kuchukua hiyo mizigo ya pete na kuipeleka kwa masonara kuuza.
 
mwenye kujua thamani ya ndoa kweli hahitaji pete, na wala huwezi kumkuta sehemu zenye utata.
hizo pete ni mapambo tu, hazina uhusiano na thamani ya ndoa.
 
Hahaha! Mpwa una biziness nyingi sana! Na huu mgao,nakushauri ukomae na biashara ya pete za wazinzi. Hahahaha! lol!
 
mwenye kujua thamani ya ndoa kweli hahitaji pete, na wala huwezi kumkuta sehemu zenye utata.
hizo pete ni mapambo tu, hazina uhusiano na thamani ya ndoa.

teh teh teh kama zingekuwa hazina uhusiano na ndoa zingekuwa zinavalishwa ? lah makanisani tungekuwa tunaingia tunafungishwa ndoa no pete kwisha kazi ...lakini kwa nini zinakuwepo?????
 
Mimi nafikiri pete za ndoa zina umuhimu wake katika kutunza ndoa. Ninaamini kabisa kuwa mnapovalishana pete ni ishara ya kukubali kumilikiana kuwa kila aliyeivaa pete ya mwenzie anakuwa mali ya mwenzie huyo peke yake. Sasa yanayojiri baada ya hapo ni ubazazi tu wa mvaaji.

Si ndio maana zinabarikiwa kwanza huko makanisani au?

By the way naomba mnijuze
Ukiolewa/oa unaruhusiwa kuibadili pete uliyovalishwa siku ya ndoa? meaning kama ulifunga ndoa na pete ya silver unataka kuchange kwenye gold kuna ubaya? Au ulivalishwa mpete mkuubwa unataka kuireplace na ndogo/nyembamba inaruhusiwa au?
 
Ukitaka kubadili pete hii unakubaliana na mwenzio akikubali unachagua choice yako kisha unaipeleka kubata baraka kama zile ulizopata mwanzo ktk pete uliyonayo kisha unaendelea kuvaaa kama kawa
hairuhusiwi kubadili hivi hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom