Vicin
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 676
- 295
Wadau nauliza kama umepata mkopo utahitajika kulipia hostel au wanakata kwenye hela ya mkopo?
Kama ndivyo kwahiyo nachotakiwa kufanya ni kwenda mimi kama mimi na vyeti pekee ili nipate hostel au imekaaje?
msaada wenu wadau kwa mnaofahamu. Natanguliza shukrani za Dhabi.