Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Mme Mwenza

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2025
Posts
1,894
Reaction score
2,420
Habari wana jamvi!

Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000.

Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000.

Kwa mwaka faida inabaki 1.8M..

- Nimegundua bado nahitaji mapambano zaidi au biashara ya ziada kufix matumiz kwa mwaka mzma.
Angarau kwa mwaka faida ibaki 5,000,000.

- Japo kwa sasa naweza ishi bila kujishughulisha, nikala nikavaa na kulala(kutoa magonjwa) ndani ya miaka 9.

Vipi mpambanaji mwenzangu, bila kaz yeyote, pesa na akiba uliyonayo unaweza mudu gharama za maisha kwa mda gan?
 
Ile corona ikitufundisha watu walioajiriwa katika sekta binafsi wana ukwasi wa kuweza kuendesha maisha yao kwa bila kufanya kazi kabisa kwa hadi masaa 720. Baada ya hapo wanaanza kupumulia mashine.
Sisi wengine tuna ukwasi wa kuendesha maisha bila kazi kwa wiki tu chalii!
Wengine masaa 24 kwisha habari.

Ila tusichekane, kuna watu maarufu walipoumwa na wakatumia pesa ya kula katika matibabu, baada ya miezi 2 wakaanza kutembeza bakuli tena safari hii bila aibu.

Tulio wengi kipato tunachopata kwa siku kina uwezo wa kuendesha maisha kwa siku 2 au zikizididi 3.
 
Habari wana jamvi!

Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000.

Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000.

Kwa mwaka faida inabaki 1.8M..

- Nimegundua bado nahitaji mapambano zaidi au biashara ya ziada kufix matumiz kwa mwaka mzma.
Angarau kwa mwaka faida ibaki 5,000,000.

- Japo kwa sasa naweza ishi bila kujishughulisha, nikala nikavaa na kulala(kutoa magonjwa) ndani ya miaka 9.

Vipi mpambanaji mwenzangu, bila kaz yeyote, pesa na akiba uliyonayo unaweza mudu gharama za maisha kwa mda gan?
Masaa machache
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom