Je Papa anakufuru?

Yani humu jf nimeshakutana na uzi kama tano hivi zote ni kuhusu papa na ukatoliki. Mpaka napata kinyaa juu ya hii kampeni yao. Nadhani wanavyoona krismasi ikipata waumini washerehekeaji wengi wamepagawa. Watakua wameambiwa waanze kusambaza upuuzi wao kwenye mitandao ya kijamii!
Kabisa yaan,,hasa wasabato mahubil yao ni Papa na Ukatoliki tuuu mxiiiiuuu
 
Huyu mtoto ndani ya siku mbili kaanzisha topic zaidi ya sita kuponda ukatoliki.
Dogo Msabato kapania kuwamaliza Wakatoliki
c5f0486b221458c98e53165793054c47.jpg
4925810b0f10e03925bfe74a54f09660.jpg
 
Ungekuwa unajua katoliki ni dini gani usingesema ivi na mpinga kristo ndio vatican yenyewe ila ndugu time will tell niamini mimi ..je unajua mapadri wote wanapractice holly magic ...? (Uchawi) ukijua undani wa kanisa hili hutaenda kusali kabisa wala kuingia kanisani ni zaidi ya ujuavo wewe kama unataka somo zaid ntakupa ushahidi wa kweli na utauona
 
Ndugu omba Yesu akufunulie tu nakuambia na naamini kwa dhati ni bora nife kuliko kuwadanganya ukatoliki ni zaidi muujuavyo ninyi ? Je mnajua kuwa kanisa linapojengwa hufukiwa mifupa ya binadamu chini ya kanisa je unajua ? Je unajua mapadri ni washirikina ?
 
Hapo wanaamsha roho wachafu ila hawataki kuambiwa kwa kuwa washarogwa bila yesu ni ngumu kujijua kuwa umerogwa yaaan ni hatari zaid wajuavyo wao ....
 
Yaaan lait mngejua nini hapo wanaabudu mngelia hadi mngemwomba yesu asaidie dunia hii ? Hii ni sanamu ila kwa roho iyo sanamu ina roho mchafu naye anaitwa malkia wa kuzimuni(queen of the cost au queen of heaven) ana majina mengi au maria mama wa mungu huko wamuitao wao ila ni roho chafu tena chafu sana
 
Kanisa la kweli ni yule mtu ambaye amemuamini YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE ..KWA iyo ROHO MTAKATIFU AKIWA NDANI YAKO NDANI YA MWILI WAKO(HEKALU) NDIO KANISA HILO LITAKUWA LA KWELI ILA KANISA KAMA JENGO HALIPO LA KWELI KWA KUWA JENGO AU TAASISI SIKU HIZI ZIMETEKWA NA YULE MWOVU ONA ..
WACHUNGAJI NA MAASKOFU WANAHALALISHA POMBE NA KUOA WANAWAKE ZAIDI YA MMOJA ..
 
Papa ni mpinga kristo
Ndio atawafanya watu wapokee alama 666.kwa sababu amepewa mamlaka na mnyama ?lucifer mwenyewe
 
Ndugu unapewa ukweli ila kwa kuwa haujui ni kweli we endelea ila ni kweli hiyo Toka kwao uokoke bila hivo Jehanamu ya moto inakuhusu
.
 
Hii sio usabato ila UKWELI ndio muhimu kiukweli nawaomba sana muisome biblia na mfuatilie watu wameelezea nini mimi nitatoa ushahidi wangu kuhusu uchawi wa roman katoliki ila anayejua ni padri wao na simwingine zaidi na anajua analolifanya ila kwa kuwa mmerogwa hamuwezi kukataaa ndio maaana na misanamu mara maria cjui nini .? Mara misa za wafu ..
 
Hakuna ambaye ataingia MBINGUNI bila NJIA YA YESU .never ever iwe ni mkristo hajamkana YESU KUWA MWOKOZI WAKE AU MWISLAMU HAIPO ...YESU NI NJIA YA UZIMA
 
Back
Top Bottom