Je nyumba ibada Asilia ndilo jibu la matatizo ya weusi duniani, kivipi? Ndugu tupe maoni yako'

Ncha ya Mkukina

JF-Expert Member
Dec 17, 2017
561
694
Mi nilichokiona kwenye mjadala wa Weusi ndio walistaarabika kwanza...!' Ni watu kutokujitambua, kukosa taarifa sahihi kuwahusu, mfumo wa elimu usiowafikisha watu kuyafikia hayo awali semwa, kukata tamaa, na kukosa pa kukimbilia..,
Mfumo siasa mtumba, uliokosa roho ya utu wa mweusi na upendo wa asili, umekuwa pulizo la Moto huu; Ambapo, taasisi za dini mamboleo na Elimu zimeshindwa kutetea maslahi ya weusi, kinachozaliwa na mseto huu, Ni watu ambao hawayajui maslahi yao, sababu hawajitambui wao Ni nani, na kwa hivyo hawako kwa ajili ya nafsi zao, Bali manufaa ya wengine, ile tumeshasema Sana, usukule nafsi na akili, kibinafsi na makundi, nchi, bara mpaka dunia. Si tatizo la mweusi Tena, Bali ajali kwa Aina binadamu.

Mboni ya jicho hapa Ni taasisi ya ibada Asilia ambayo itatekeleza hayo yaliyoshindwa kutekelezeka

Ndugu mchango wako unakaribishwa kuhusu chombo hiki mahususi kwa ajili ya ukombozi wa mtu mweusi

Asanteni

Ndugu mnakaribishwa
 
Tupo pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom