Shakidinkili
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 458
- 174
Niliangalia picha za chatu aliyekuwa anammeza swala ambazo ulituwekea humu ndani. Baada ya hayo nilianza kutafakari maisha ya viumbe kama nyoka na wengine wa jamii hiyo, mwisho nikajiuliza.
1.Je, Hawa viumbe wanapata ladha ya chakula wanachokula?
2. Mmeng'enyo wa chakula (Digestion) ukoje kwa viumbe kama hawa, Je, hata mifupa huwa inasagwa yote huko huko tumboni au huwa wanaitapika baadaye au wanaitoa kwa njia ya haja kubwa?
Kama unajua lolote kuhusiana na haya ninaomba unijuze.
NAWASILISHA.